Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Hawa wanafunzi wa Dar mbona wamedunda hivi jamenii khaa
 
Nisaidieni,ukitaka kuangalia matokeo ya private candidates unaangaliaje?
 
BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Januari 31, 2017 limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kuhitimu Elimu ya Sekondari, Kidato cha Nne kwa mwaka 2016, mtihani ambao ulifanyika mwishoni mwa mwaka jana ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 2.44 ukilinganishwa na ule wa mwaka jana.

Katika matokeo hayo, shule za Mikoa ya Pwani na Dar es Salaam zimeonekana kung’ara zaidi kwa kushika nafasi za juu wakati huophuo shule 6 za Dar es Salaam zikishika nafasi 10 za mwisho katika matokeo hayo.

Shule zilizoingia 10 bora Kitaifa

  1. Feza Boys Sec School – Dar es Salaam
  2. St. Francis Girls Sec School -Mbeya
  3. Kaizirege Junior Sec School – Kagera
  4. Marian Gilrs Sec School – Pwani
  5. Marian Boys Sec School- Pwani
  6. St. Aloysius Girls Sec School – Pwani
  7. Shamsiye Boys Sec School – Dar es Salaam
  8. Anuarite Girls Sec School- Kilimanjaro
  9. Kifungilo Girls Sec School- Tanga
  10. Thomas More Machrina Sec School – Dar es Salaam
Shule za Dar es Salaam zilizoshika nafasi 10 za mwisho

Kitonga Sec School

Nyeburu Sec School

Mbopo Sec School

Mbondole Sec School

Somangila Day Sec School

Kidete Sec School

Source
https://globalpublishers.co.tz/matokeo-ya-kidato-cha-nne-mwaka-2016-yametoka-bofya-hapa-kuyaona/
 
Back
Top Bottom