Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

we unataka kupata matokeo yako...?? nitajie shule na namba yako ya mtihani nakutumia sasa hivi hapa hapa jukwaani au hata PM , ni bure sihitaji hata senti tano.Twende kazi.
Naomba niangalizie mkuu kihonda secondary S.1029/0371
 
Tafadhali ndugu. ..

Kihonda secondary
S.1029/0371
 
Nasemaje anaye taka matokeo m namtumia shule nzima atakayo
Note. Unalusha buku baada ya uduma . wote walio pata uduma kwang wanainyoya....
Saidia wenzio hata bure pale inapobidi mkuu, hii ndio faida ya Forum, maana kuna vitu vingi sana unavipata hapa JF wala hujawahi kutozwa hata shilingi kumi.


Stop being selfish!
 
MIE TOKA JANA KILA NIKIJARIBU KUFUNGUA HAITAKI KUFUNGUKA SIJUI KWANINI
 
What i can do to your bro is to help your how can open it..... Paradox of many people they don't know how to fnd altativ
Know install thl then every thng is there....
 
Acha tuu hiki kizazi cha Social network huwa wadogo zetu wanakuwa na mambo sana hawashindwi kuomba kupiga snapchat ndani ya examination rum na wakiambiwa watafute "X" kwenye majibu ndo utacheka ufe

Sent from my GT-N7105 using JamiiForums mobile app
Hahaa, kizazi hiki bila hawa madogo kujitambua basi kizazi kitawatambua!!
 
Wadau msaada wa matokeo ya shule 0474

S. or P ?
Kwanini usiingie web ya Necta?
Kwanini unapenda mtelezo?
Utaweza kweli Kwenda form 5 kwenye masomo kama kuangalia tu matokeo hujui?
 
Mheshimiwa Makonda naona vijana wako wamekudharaulisha,Pole sana mkuu wetu,Mwambie kamanda Sirro awakamate wakuu wote washule awasweke ndani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…