Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nisaidieni kuangalizia huyu mdogo wangu tafadhali s1922/0070 bujinga secondary schoolMATOKEO KIDATO CHA 4
Baraza la Mitihani nchini(NECTA) latangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2016. Wavulana wafaulu kwa 73.26% na Wasichana 67%.
- Feza, St. Francis na Kaizerege zaendelea kutamba kileleni, Dar yaburuza mkia.
Wanafunzi 277,283 (asilimia 70.09) waliofanya mtihani 2016 wafaulu.
Shule za Dar zaongoza washika mkia matokeo ya kidato cha Nne.
Matokeo yote yapo hapa >> http://41.188.136.77:8080/matokeo/2016/csee/index.htm
Bora aifariji familia jmn wamemwandama sana baba ake..hongera kwakeMtoto wa Mchechu amechupa... hongera saaana.
S1922/0070wakuu nisaidieni kuangalizia huyu mdogo wangu tafadhali s1922/0070 bujinga secondary school
S0914/0027msaada, Muyama Sec, S.0914/0027
mkuu unataka matokeo ya wote.. au highlight tu ufaulu wao...!!!Msaada S.0119
mkuu nisaidieni kuangalizia huyu mdogo wangu tafadhali s1922/0070 bujinga secondary schoolmkuu unataka matokeo ya wote.. au highlight tu ufaulu wao...!!!
poa mkuu.. uwe mvumilivu tu wa kusubiri...mkuu nisaidie na Mimi
s0101/0250. Azania secondary school
mbona nishaweka mkuu.. ngoja nichek tena!mkuu nisaidieni kuangalizia huyu mdogo wangu tafadhali s1922/0070 bujinga secondary school
naomba msaada wa s.3134/014 na s.3135/004S0914/0027
M
28
IV
CIV - 'F' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'D' B/MATH - 'F'
asante mkuu nishayaona mkuumbona nishaweka mkuu.. ngoja nichek tena!
nimesoma mm seminary nyegezi seminary mwanza kipind kile aseeee tulikuwa tunachujwa hata kwa somo moja wanakumanda kama sijui nn utafikiri umekula hela ya nauli... ..aseee ..ila siyo sasa maana ni pesa tyuuu pesaaaa pesaaaa pesaaaa helaaaaaaa helaaaaa thats y kipind kile tulibamiza sana aseeee ila siyoo sasa maana ni pesa tuu ndo inanunua sahii za wakuu..Seminary cku hizi hazifaulishi tena kama zawani
Maua,Uru, St James, USA Seminary......sizikiii tena, What went wrong? ....................................................What went What? What went Wrong
shuleni kwao wamepata one wangapi?2 wangapi?3 wangapi?4 wangapi na zero wangapi?fanya kautafiti.
S0101/0250mkuu nisaidie na Mimi
s0101/0250. Azania secondary school
Hahaha hili jina la shule lime[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], kuna jina ukilisikia tu unakata tamaamkuu nisaidieni kuangalizia huyu mdogo wangu tafadhali s1922/0070 bujinga secondary school
Point Mkuu ila najua wanayaelewa sana haya lkn wanayapuuzia tuKwa sasa suala la Elimu ya Msingi na ile ya Upili imekuwa ni jukumu la sekta binafsi
Sekta binafsi ndio inajenga mazingira bora ya elimu na watoto kufanya vizuri kuliko serikali.
Lakini "Social Contract" kati ya wananchi na serikali kila baada ya miaka mitano ya kuomba kura huwa ni malipo ya elimu bora,afya bora na huduma bora za maji na maisha.
Serikali imekuwa mdau mkubwa wa kutokufuata masharti haya ya "Social Contract" kati yake na wapiga kura.Kuwepo na ukosefu wa shule za serikali ktk kumi bora,ni moja ya uvunjwaji mkubwa wa "mkataba wa kijamii" kati ya serikali na wananchi.Na hapa Serikali inapswa kuadhibiwa.
Unawekaje kipimo sawa kati ya mwanafunzi anayesoma kwa kibatari na chemli kule Iselamagazi Tabora na yule anafanya study Tour Uturuki huku akiwa na mazingira bora ya kusoma?
Na hili kudhihirisha hivyo,kwa sasa huwezi kukuta viongozi wa serikali wakipeleka watoto wao ktk shule za serikali kwa maana na wao hawaamini ktk ubora wa elimu inayotolewa na shule za umma.
Ilboru,Tabora Boys,Mzumbe,Kibaha,Weruweru,Tabora Girls,Kilakala,Msalato na Korogwe Girls zimebaki magofu ya historia ya elimu bora ya Tanzania.Majengo ni toka ya mkoloni.Hakuna jitihada za kimkakati za kurudisha ubora.
Elimu imekuwa biashara badala ya Huduma.Na hao watunga sera wanaopaswa kuirudisha elimu ktk mstari mnyoofu ndio wafanyabishara wa elimu.Waziri anamiliki shule,mbunge anayeisimamia serikali naye anamiliki shule au kuwa na hisa ktk biashara ya elimu.
Katika nchi zilizoendelea,Elimu ya msingi na upili sio biashara,bali ni huduma.Ni huduma kwa sbb ni haki ya kimsingi ya kila mtu kupata elimu ya msingi na ya upili.Ndio maana nchi kama Sweden ni fahari kuwa sehemu ya shule ya serikali kuliko binafsi.
Mazingira ya kielimu ya mtoto aliyeko Kwa Msisi Handeni,ambapo zaidi ya kuwaza masomo,anawaza wapi atapata maji ya kuoga na kunywa si sawa na Marian Girls,ambapo mpaka pedi mtoto anaikutq kati vyoo vya shule,hawa hawawezi kuwa sawa kieleimu na kimtazamo.
Hii ni sawa na kuwaweka ulingoni Dula Mbabe anyecheza ngumi za amacha na Myweather
Its like feather weight boxer vs heavyweight boxer!!Kwa hili tujitathmini upya