Matokeo kidato cha pili 2012 hatimae yatolewa, mkoa wa D'salaam washika mkia.

Matokeo kidato cha pili 2012 hatimae yatolewa, mkoa wa D'salaam washika mkia.

Mmmmmh!hvi hyu mulugo c ndo yule alyechakachua jna wakti aksoma na mh SUGU?yeye kma alifel na akapewa uwazir wa elimu unategemea watoto watafaulu kwel?jiulze kama 65% wamefaul ngap ni za international na ngap ni za kata?nngeomba atoe ufafanuz ili 2jue
 
Kiukweli waliofauli ni chini ya 35% tulio sahisha tunajua pass mark badala ya 30% wastani masomo yote wakashusha hadi 15% kwa masomo yote ili kila shule zipate kidato cha 3. Hali ni mbaya.
nakubaliana na wewe mkuu kabisa,kwa waziri ametangaza ufaulu tofauti na huu ulioletwa hapa yeye anasema wamefaulu asilimia 89%
 
nakubaliana na wewe mkuu kabisa,kwa waziri ametangaza ufaulu tofauti na huu ulioletwa hapa yeye anasema wamefaulu asilimia 89%
huwo ni uwongo mtupu wacheni unafiki jamani Kiumbo
 
Last edited by a moderator:
Inanishangaza katika zama hizi za digitali hadi wakati huu kwenye website ya NECTA matokeo hayo hayajabandikwa!! ni aibu
 
Jee kunaweza kuwa na sababu maalum kwa shule za kusini mwa Tanzania kuongoza katika kuonyesha matokeo mabaya? Tunafahamu shule kama St. Francis na nyinginezo kama hizo ufaulu wao ni kwa sababu ya mazingira mazuri ya kusomea na walimu wazuri wanaojituma. Sijui waziri anaweza kutusaidia vipi kwa hili?:crazy:
 
ASANTE SANA WAZIRI WETU KWA KUDADAVUA MATOKEO HAYO.
NAomba nirudie kauli yangu niliyo wahi kuituma kuwa 'Mfumo wa elimu ya sekondari unategemea elimu ya msingi'
Sasa kama elimu ya msingi ni hoi, unategemea nini kwa elimuya sekondari? Utaratibu wa kuwatahini wanafunzi wa darasa lasaba kwa kutumia machaguo(objective) siyo mzuri.Kama mna mtazamo yakinifu kuhusu elimu ya Tanzania badilisheni mara moja,vinginevyo mmmmmh.......!!!!!!
 
Da!ukwel utabaki palepale,shule zetu za kata ndo wameumia zaidi,shule bado hazijawa rafiki wawanafunzi,mazingira c mazuri,walimu c wakutosha unazani iyo 35% itasaidiwa vp?,kwanza ndo wengi wao shule tena bac 2ombe mungu labda soon atashuka masiha kuikoa tz!!
 
mbona cjaona takwim za komkoa zinazoonyesha dar n ya mwisho kama heading inavyosema??????
 
Nawauliza Wanajamvi kwamba baada ya matokeo ya kidato cha pil kutangazwa ni wapi yanaweza kupatikana ili tuweze kujua status ya ndugu zetu Official websites ya wizara mpaka ninapopost hii topic haina kitu. NECTA nao mpaka muda huu hawajatoa taarifa zozote kwa nini matokeo hayo hayapatikani?
Nisaidieni wanajamvi wenzangu.
 
Kwajinsi Naibu waziri wa Elimu (TZ & ZW) alivyoelezea, sidhani kama yatakuwa na effect yoyote. Lasivyo asilimia 75 ya wanafunzi waliofanya mtihani itabidi warudie darasa. Unacheza na mgomo baridi wa waalimu weye.
 
..

Shule za Kiislam zimefeli Islamic Knowledge na Shule za kanisa zimefaulu mpaka masomo ya Kiarabu -- Ukistaajabu ya Musa utashangaa ya Firauni

Ha ha ha ha ha! May be this time wataandamana tena kushinikiza Ndalichako aondoke kwa kuwafelisha wanafunzi wao!

Halafu nashangaa siku za nyuma shule za makanisa zilikuwa hazifundishi Arabic lakini cha ajabu siku hizi almost kila moja inalifundisha tena ni compulsory subject na wanalichana ile mbaya kuzidi hata hao "waarabu" wenyewe. Sijajua kuna ajenda gani nyuma ya haya mabadiliko ya ghafla siku za hivi karibuni.
 
Hii serikali isipowajali walimu nakwambia hali ni mbaya walimu hawana ari ya kufundsha kutokana na kutordhka na mshahara walimu angalien upande wa pili ili angalau maslahi yenu yaangaliwe muda wa mapinduz ni sasa
 
...
4.2 Shule zilizoshika nafasi kumi za Mwisho
4.2.1 Shule za Serikali
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]
NA
[/TD]
[TD]
SHULE
[/TD]
[TD]
KANDA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
1.
[/TD]
[TD] MIHAMBWE [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
2.
[/TD]
[TD="width: 186"] DINDUMA [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
3.
[/TD]
[TD="width: 186"] KIROMBA [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
4.
[/TD]
[TD="width: 186"] MARAMBO [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
5.
[/TD]
[TD="width: 186"] MBEMBALEO [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
6.
[/TD]
[TD="width: 186"] KINJUMBI [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
7.
[/TD]
[TD="width: 186"] LITIPU [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
8.
[/TD]
[TD="width: 186"] LUAGALA [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
9.
[/TD]
[TD="width: 186"] MIGURUWE [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
10.
[/TD]
[TD="width: 186"] NAPACHO [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

...

Wakuu, kwa data hizo hapo juu watu wa Mtwara wana hoja wajameni. Hebu Serikali iwasikilize ndugu zetu hawa badala ya kufanya kila kitu kuwa siasa. Kwa uzalishaji huu wa maamuma tena wakiwa wame-concentrate upande mmoja wa nchi, ni hatari kwa usalama wa taifa kuliko kitisho kingine chochote.
 
wameshusha na kiwango cha ufaulu std 7! siku hizi mtihani wa hesabu std 7 ni multiple choice, yaani ni ujingaaaaaaa ambao hata mayai yangu kwenye ovaries hayawezi kubali!! stupid me kuendelea kuwa na vitu vyenye rangi ya KIJANI!
yaani mtoto anatakiwa kuchagua majibu sahihi 14 tu kati ya 50 kwa kila somo kuna masom matano tu ili aende sekondari
 
Wakuu wala msishangae sana,mazingira ya utoaji elimu wakati huu ni tofauti na zamani ambapo mwalimu alikuwa anathaminiwa,wazazi walikuwa serious na masomo ya watoto wao nk. Haya ndio matokeo ya kushabikia maovu yanayofanywa na watawala,fikiria namna kulivyo na tofauti kubwa ya mshahara ,eti wakati walimu wanagoma serikali iliingiza siasa hii ni hatari sana. Tusubiri ya kidato cha nne,yatakuwa hivyohivyo ni mpaka watanzania tutakapoona umuhimu wa elimu ndio itabadilika lkn kwa mazingira ya sasa ya mwalimu ni ndoto.
 
Hii serikali isipowajali walimu nakwambia hali ni mbaya walimu hawana ari ya kufundsha kutokana na kutordhka na mshahara walimu angalien upande wa pili ili angalau maslahi yenu yaangaliwe muda wa mapinduz ni sasa

Nabado hadi vichaa waoko makopo waongezeke mitaani.chezea walimu wewe.
 
Back
Top Bottom