Dawa ya Mjinga
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 382
- 145
mbona wana walimu wengi sana....kila mwalimu anakomaa apangiwe dar,teh teh teh!
tuishe-ni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona wana walimu wengi sana....kila mwalimu anakomaa apangiwe dar,teh teh teh!
nakubaliana na wewe mkuu kabisa,kwa waziri ametangaza ufaulu tofauti na huu ulioletwa hapa yeye anasema wamefaulu asilimia 89%Kiukweli waliofauli ni chini ya 35% tulio sahisha tunajua pass mark badala ya 30% wastani masomo yote wakashusha hadi 15% kwa masomo yote ili kila shule zipate kidato cha 3. Hali ni mbaya.
halafu ikusaidie nini?Atumie nafasi hiyo kutupa na matokeo yake ya mitihani kipindi alichokuwa anasoma kabla hajabadilisha jina na Amini na Kuitwa Mulugo
..
Shule za Kiislam zimefeli Islamic Knowledge na Shule za kanisa zimefaulu mpaka masomo ya Kiarabu -- Ukistaajabu ya Musa utashangaa ya Firauni
...
4.2 Shule zilizoshika nafasi kumi za Mwisho
4.2.1 Shule za Serikali
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD][/TD]NA
[TD][/TD]SHULE
[TD][/TD]KANDA
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]1.
[TD] MIHAMBWE [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"][/TD]2.
[TD="width: 186"] DINDUMA [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"][/TD]3.
[TD="width: 186"] KIROMBA [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"][/TD]4.
[TD="width: 186"] MARAMBO [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"][/TD]5.
[TD="width: 186"] MBEMBALEO [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"][/TD]6.
[TD="width: 186"] KINJUMBI [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"][/TD]7.
[TD="width: 186"] LITIPU [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"][/TD]8.
[TD="width: 186"] LUAGALA [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"][/TD]9.
[TD="width: 186"] MIGURUWE [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"][/TD]10.
[TD="width: 186"] NAPACHO [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
...
yaani mtoto anatakiwa kuchagua majibu sahihi 14 tu kati ya 50 kwa kila somo kuna masom matano tu ili aende sekondariwameshusha na kiwango cha ufaulu std 7! siku hizi mtihani wa hesabu std 7 ni multiple choice, yaani ni ujingaaaaaaa ambao hata mayai yangu kwenye ovaries hayawezi kubali!! stupid me kuendelea kuwa na vitu vyenye rangi ya KIJANI!
Watazaliana sana.Na je, hawa wakidato cha pili kama watarudi mitaani je tutegemee nini kwa wananchi?
Hii serikali isipowajali walimu nakwambia hali ni mbaya walimu hawana ari ya kufundsha kutokana na kutordhka na mshahara walimu angalien upande wa pili ili angalau maslahi yenu yaangaliwe muda wa mapinduz ni sasa