matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Unatamani kuwa mtu flani mwalimu, mshauri na mwelekezaji katika masuala ya kiroho.1: Ataendelea kuzini na wengine akipata nafasi.
2: Msingi wa ndoa utakuwa ni mashaka na kujishtukia. Msingi huo utaarika kurogwa na limbwata kwa mwenzi ili ajiongezee konfidensi.
3: Tendo la ndoa ndani ya ndoa huarika malaika wa baraka na utele. Tendo la ndoa nje ya ndoa au kabla ya ndoa huarika majini ya majanga, majuto na uharibifu. Ndoa ya wazizi huunganishwa pamoja na majini yao.
Nini cha Kufanya.
Usioe mwanamke uliyezini naye. Usiolewe na mwanaume uliyezini naye.
Ni hayo tu.
Asante sitamani kuwa hivyo.Unatamani kuwa mtu flani mwalimu, mshauri na mwelekezaji katika masuala ya kiroho.
Boresha kiwango chako cha kiroho kwa kujifunza zaidi.
Jidomee neno la Mungu kupitia biblia na vyanzo vingine kama vile vitabu vilivyoandikwa na wanathiolojia nk.
Jifunze kuomba.
Mafundisho yoyote yasiyo na rejea ni sawa na bure na hautaeleweka.
Siku zote kumbuka unapoleta hoja, somo au andiko ujue kuwa unapaswa kuwashawishi watu kukuamini.
Hili huwezi kufanikiwa ikiwa hutatambua kuwa kuna watu wenye uwezo mkubwa wa hicho inacho deliver kuliko wewe.
Huu ni ushauri wangu wa upendo kwa vile nilishatambua mwelekeo wako unakotamani kwenda au kuwa.
Wewe ni mfano wa mafarisayo wa zamani1: Ataendelea kuzini na wengine akipata nafasi.
2: Msingi wa ndoa utakuwa ni mashaka na kujishtukia. Msingi huo utaarika kurogwa na limbwata kwa mwenzi ili ajiongezee konfidensi.
3: Tendo la ndoa ndani ya ndoa huarika malaika wa baraka na utele. Tendo la ndoa nje ya ndoa au kabla ya ndoa huarika majini ya majanga, majuto na uharibifu. Ndoa ya wazizi huunganishwa pamoja na majini yao.
Nini cha Kufanya.
Usioe mwanamke uliyezini naye. Usiolewe na mwanaume uliyezini naye.
Ni hayo tu.
Sio wewe uliyetamani kupeleka injili Ulaya?Asante sitamani kuwa hivyo.
Mimi ni raia wa kawaida kabisa na sihitaji mtu anifuate. Hivyo ninaandika bila kuvizia watu wanipende na kunifuata.
Ndio maana situmii identifications ambazo zingenipeleka huko.
Nakazia 🔨🔨🔨🔨🔨Unatamani kuwa mtu flani mwalimu, mshauri na mwelekezaji katika masuala ya kiroho.
Boresha kiwango chako cha kiroho kwa kujifunza zaidi.
Jisomee neno la Mungu kupitia biblia na vyanzo vingine kama vile vitabu vilivyoandikwa na wanathiolojia nk.
Jifunze kuomba.
Mafundisho yoyote yasiyo na rejea ni sawa na bure na hautaeleweka.
Siku zote kumbuka unapoleta hoja, somo au andiko ujue kuwa unapaswa kuwashawishi watu kukuamini.
Hili huwezi kufanikiwa ikiwa hutatambua kuwa kuna watu wenye uwezo mkubwa wa hicho unacho deliver kuliko wewe.
Huu ni ushauri wangu wa upendo kwa vile nilishatambua mwelekeo wako unakotamani kwenda au kuwa.
Mimi sitamani mkuu bali nafanya hata sasa. Hili ni jukumu ka kawaida la kila raia wa Ufalme wa Mungu.Sio wewe uliyetamani kupeleka injili Ulaya?
Mambo ya MUNGU yamefunikwa na pazia zito...Sio wewe uliyetamani kupeleka injili Ulaya?
😄Wewe ni mfano wa mafarisayo wa zamani
Watoto wadogo kulee wodi ya wazazi ndiyo wanatoboa hapa 😆Anayeweza kushinda hii dhambi ya uzinifu onyooshe mkono juu.
Mathayo 5:28
lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
Sawa.Mambo ya MUNGU yamefunikwa na pazia zito...
Wengi hawayaelewi
Tumsifu YESU KRISTO
Mimi sitamani mkuu bali nafanya hata sasa. Hili ni jukumu ka kawaida la kila raia wa Ufalme wa Mungu.
Jamaa huwa anasimuliwa na yeye anakuja kutusimuliaUnatamani kuwa mtu flani mwalimu, mshauri na mwelekezaji katika masuala ya kiroho.
Boresha kiwango chako cha kiroho kwa kujifunza zaidi.
Jisomee neno la Mungu kupitia biblia na vyanzo vingine kama vile vitabu vilivyoandikwa na wanathiolojia nk.
Jifunze kuomba.
Mafundisho yoyote yasiyo na rejea ni sawa na bure na hautaeleweka.
Siku zote kumbuka unapoleta hoja, somo au andiko ujue kuwa unapaswa kuwashawishi watu kukuamini.
Hili huwezi kufanikiwa ikiwa hutatambua kuwa kuna watu wenye uwezo mkubwa wa hicho unacho deliver kuliko wewe.
Huu ni ushauri wangu wa upendo kwa vile nilishatambua mwelekeo wako unakotamani kwenda au kuwa.
A: Sperms hutumika sana kuvunja nguvu za kiroho baina ya Ke na Me kiuzinzi.1: Ataendelea kuzini na wengine akipata nafasi.
2: Msingi wa ndoa utakuwa ni mashaka na kujishtukia. Msingi huo utaarika kurogwa na limbwata kwa mwenzi ili ajiongezee konfidensi.
3: Tendo la ndoa ndani ya ndoa huarika malaika wa baraka na utele. Tendo la ndoa nje ya ndoa au kabla ya ndoa huarika majini ya majanga, majuto na uharibifu. Ndoa ya wazizi huunganishwa pamoja na majini yao.
Nini cha Kufanya.
Usioe mwanamke uliyezini naye. Usiolewe na mwanaume uliyezini naye.
Ni hayo tu.
Mafundisho ya mitume na manabii fakeJamaa huwa anasimuliwa na yeye anakuja kutusimulia