Matokeo matatu ya kuoa au kuolewa na mwanamke/mwanaume uliyezini naye

Matokeo matatu ya kuoa au kuolewa na mwanamke/mwanaume uliyezini naye

Kumpata ambye hajaziniwa ni kipengele so unamaanisha afadhali tuoe wallioziniwa na wengine si ndio
 
1: Ataendelea kuzini na wengine akipata nafasi.

2: Msingi wa ndoa utakuwa ni mashaka na kujishtukia. Msingi huo utaarika kurogwa na limbwata kwa mwenzi ili ajiongezee konfidensi.

3: Tendo la ndoa ndani ya ndoa huarika malaika wa baraka na utele. Tendo la ndoa nje ya ndoa au kabla ya ndoa huarika majini ya majanga, majuto na uharibifu. Ndoa ya wazizi huunganishwa pamoja na majini yao.

Nini cha Kufanya.

Usioe mwanamke uliyezini naye. Usiolewe na mwanaume uliyezini naye.

Ni hayo tu.
Ni jambo jema, unamsubiri hadi ndoa halafu unakuta kumbe kakekketwa, kumbe ana bwawa, kumbe kibamia, kumbe anakojoa haraka kama jogoo. Sasa si utaanza kujuta.
 
Back
Top Bottom