matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #21
Umetoa ushauri mkubwa sana kana kwamba nina visheni za ka kuwa mtu na nabii wa kimataifa. Wakati mimi ninatelekeza wajibu wangu katika ngazi ya uumini tu bila kujali nitawafikia watu billioni au mmoja.Sasa ulichokataa ni nini na unachokubali ni nini?
Ila nakushukuru kwa ushauri.