Matokeo matatu ya kuoa au kuolewa na mwanamke/mwanaume uliyezini naye

Hizi ni hisia na mawazo binafsi (personal opinion)
 
Umetoa ushauri mkubwa sana kana kwamba nina visheni za ka kuwa mtu na nabii wa kimataifa. Wakati mimi ninatelekeza wajibu wangu katika ngazi ya uumini tu bila kujali nitawafikia watu billioni au mmoja.

Ila nakushukuru kwa ushauri.
Katika imani huwa hakuna mtu wa kawaida.
Kiimani huwa kila mtu anahesabika ni askari wa Bwana.
Rejea katika kitabu cha Waamuzi.

Mwanamke aitwaye Yaeli aliweza kumuua mfalme na mtesi wa Israel..(Sisera) kwa kumpigalia kigingi kichwani baada ya kumhifadhi nyumbani kwake.

Hivyo mama wa nyumbani aligeuka kuwa shujaa wa taifa kwa wakati ule.

Kuwa bora/kuwa na uelewa sahihi haidhuru kitu bali ni faida hata kwa huyo mmoja utakayemfikia na kumfundisha.

Narudia tena...boresha kiwango chako wala hakuna madhara wala hasara katika kufanya hivyo.
 
Acha kutisha watu we Kama hutaki ngono before marriage usifanye ..vitu wanavyofanya behind close doors, curtains and windows, so fatilia yako
 
Lazima tutest mitambo...... hatuwezi kuuziwa MBUZI kwenye gunia.
 
Nimuite kiranga au niache
 
Maana yake una hamasisha mwanamke awe bikra au sjaelewa bado?
 
Anayeweza kushinda hii dhambi ya uzinifu onyooshe mkono juu.

Mathayo 5:28
lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
Hata wachungaji wanazini sana tu.
 
Utofautishe kwanza Kati ya UZINZI NA UASHERATI? Then andika upya
 

Kwa hali ya sasa ya maisha manoendelea kuahikilia msimamo huu na dhani umebaki wewe na familia yako.

Watu wamegundua hizo imani ni uongo na propaganda na kutia hofu ya kuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…