KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
Kikolo ndile nikwite
Bado haikutosha simba kubeba kombeJana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco.
Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira kambani.
Dk ya 42 Simba wakapata Goli Tena Kupitia ELI MPANZU baada ya kupewa pasi ya mwisho na Jean Charles AHOUA.
Kipindi cha pili RS BERKANE walipata Goli dk ya 68 na kuufanya mchezo Kuwa 2-1.
Dk ya 88 Simba wakapata Goli na kuua Mechi Kupitia Fabrice Luamba Ngoma.
FT: SIMBA 3 π RS BERKANE 1
DaaahBado haikutosha simba kubeba kombe
Usikalili maishaDuuh sasa tangu lini Mukwala akawa mpiga Penalty wa Simba ikiwa Ahoua yupo
SIJAJUA kwanini Mukwala aliamua apige ile penaltyKwanini penati wampe Mukwala na sio Ahoua au Kapombe?
Nimetunza hii commentHayo ni kwenye ndoto tu Mkuu, usijaribu kuyapa uzito ukidhani yanawezekana maana utaumia zaidi mambo yatakapokuwa vice versa (na ndivyo itakavyokuwa)
Simba kumfunga Berkane ni kwenye ndoto pekee.
Kwan mwaka ule tuliwafqnyaje?Hayo ni kwenye ndoto tu Mkuu, usijaribu kuyapa uzito ukidhani yanawezekana maana utaumia zaidi mambo yatakapokuwa vice versa (na ndivyo itakavyokuwa)
Simba kumfunga Berkane ni kwenye ndoto pekee.
Hivi Laban una kazi ya kukuingizia kipato? Maana nikikaa masaa matano nikirudi nakuta nyuzi na post zako kibao kuhusu Simba
Kwa nini iwe kwenye ndoto na wewe umejuaje kama na wewe pia haupo ndotoni ? Thibitisha kwa hoja tatu.Hayo ni kwenye ndoto tu Mkuu, usijaribu kuyapa uzito ukidhani yanawezekana maana utaumia zaidi mambo yatakapokuwa vice versa (na ndivyo itakavyokuwa)
Simba kumfunga Berkane ni kwenye ndoto pekee.