Matokeo niliyoyaona jana usiku Simba SC 🆚 Rs Berkane

Jana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco.

Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira kambani.

Dk ya 42 Simba wakapata Goli Tena Kupitia ELI MPANZU baada ya kupewa pasi ya mwisho na Jean Charles AHOUA.

Kipindi cha pili RS BERKANE walipata Goli dk ya 68 na kuufanya mchezo Kuwa 2-1 Lakini Goli lilikataliwa na VAR Kuwa kulikuwa na foul kabla ya goli

Dk ya 88 Simba wakapata Goli na kuua Mechi Kupitia Fabrice Luamba Ngoma.

FT: SIMBA 3 🆚 RS BERKANE 0
Daaah mwamba Yani akilin mwangu kama kweli vile
 
Hii ndoto ni mfu
 
JAMANI EEH embu wenye ndoto na maono mkae sehem Moja au mods waunganishe ndoto zenu pamoja
 
Jana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco.

Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira kambani.

Dk ya 42 Simba wakapata Goli Tena Kupitia ELI MPANZU baada ya kupewa pasi ya mwisho na Jean Charles AHOUA.

Kipindi cha pili RS BERKANE walipata Goli dk ya 68 na kuufanya mchezo Kuwa 2-1 Lakini Goli lilikataliwa na VAR Kuwa kulikuwa na foul kabla ya goli

Dk ya 88 Simba wakapata Goli na kuua Mechi Kupitia Fabrice Luamba Ngoma.

FT: SIMBA 3 🆚 RS BERKANE 0
Umeota kinyumenyume mkuu
 
Hiyo ndoto Yako mbaya sana na imejuwa kukufurahisha mwenyewe kama ni matumaini umeyapata ila nakukatisha tamaa Simba kombe achukui trust me💯⚒️
 
Jana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco.

Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira kambani.

Dk ya 42 Simba wakapata Goli Tena Kupitia ELI MPANZU baada ya kupewa pasi ya mwisho na Jean Charles AHOUA.

Kipindi cha pili RS BERKANE walipata Goli dk ya 68 na kuufanya mchezo Kuwa 2-1 Lakini Goli lilikataliwa na VAR Kuwa kulikuwa na foul kabla ya goli

Dk ya 88 Simba wakapata Goli na kuua Mechi Kupitia Fabrice Luamba Ngoma.

FT: SIMBA 3 🆚 RS BERKANE 0
Mechi itamalizika kwa matokeo ya Simba 3 Berkane 1.

Berkane atabeba kombe kwa faida ya goli la ugenini
 
Jana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco.

Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira kambani.

Dk ya 42 Simba wakapata Goli Tena Kupitia ELI MPANZU baada ya kupewa pasi ya mwisho na Jean Charles AHOUA.

Kipindi cha pili RS BERKANE walipata Goli dk ya 68 na kuufanya mchezo Kuwa 2-1 Lakini Goli lilikataliwa na VAR Kuwa kulikuwa na foul kabla ya goli

Dk ya 88 Simba wakapata Goli na kuua Mechi Kupitia Fabrice Luamba Ngoma.

FT: SIMBA 3 🆚 RS BERKANE 0
Ulkupata chakula mchana na usku?
 
Nimeoteshwa ndotoni kuwa Simba atabeba Kombe la Shirikisho, atampiga RS BERKANE jumla ya magoli 4 kwa bila. Mohamed Husein anakuwa kaptein wa kwanza kunyanyua Kombe la CAF kutoka Africa Mashariki.
Wana Simba shoneni suti za kushangilia ubingwa. Bibi yangu huwa hakosei kabisa, narudia tena bibi angu huwa hakosei kabisa
 
Labda lile kombe ambalo mabwege kina kisugu na Msigwa wanalibeba kwenye Bonanza 😂😂
 
Nimeoteshwa ndotoni kuwa Simba atabeba Kombe la Shirikisho, atampiga RS BERKANE jumla ya magoli 4 kwa bila. Mohamed Husein anakuwa kaptein wa kwanza kunyanyua Kombe la CAF kutoka Africa Mashariki.
Wana Simba shoneni suti za kushangilia ubingwa. Bibi yangu huwa hakosei kabisa, narudia tena bibi angu huwa hakosei kabisa
Kuna mwamba alisingiziwa kesi akahukumiwa miaka 3 kifungoni.
Wakati anaingia gerezani aliiambia familia ya aliyemsingizia kesi " NIKITOKA NAKUUA"
meaning tukifungwa nitakuwa na ugomvi na bibi yako
 
Back
Top Bottom