Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Kipi ulishaota kikatokea mbali na kususu kitandani
Wee unataka mzee #laban apasuke kichwa? Soon ataanzisha thread yake kukupingaJana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco.
Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira kambani.
Dk ya 42 Simba wakapata Goli Tena Kupitia ELI MPANZU baada ya kupewa pasi ya mwisho na Jean Charles AHOUA.
Kipindi cha pili RS BERKANE walipata Goli dk ya 68 na kuufanya mchezo Kuwa 2-1 Lakini Goli lilikataliwa na VAR Kuwa kulikuwa na foul kabla ya goli
Dk ya 88 Simba wakapata Goli na kuua Mechi Kupitia Fabrice Luamba Ngoma.
FT: SIMBA 3 🆚 RS BERKANE 0
Kwanini asibebe na wakati ni tatu bila. Uto hamna akiliBado haikutosha simba kubeba kombe
UMecomment baada ya jamaa kuedit uzi wake.Kwanini asibebe na wakati ni tatu bila. Uto hamna akili
Aina nyingine ya ushuziJana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco.
Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira kambani.
Dk ya 42 Simba wakapata Goli Tena Kupitia ELI MPANZU baada ya kupewa pasi ya mwisho na Jean Charles AHOUA.
Kipindi cha pili RS BERKANE walipata Goli dk ya 68 na kuufanya mchezo Kuwa 2-1 Lakini Goli lilikataliwa na VAR Kuwa kulikuwa na foul kabla ya goli
Dk ya 88 Simba wakapata Goli na kuua Mechi Kupitia Fabrice Luamba Ngoma.
FT: SIMBA 3 🆚 RS BERKANE 0
NDOTO YAKO IMEKAA JE LEOJana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco.
Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira kambani.
Dk ya 42 Simba wakapata Goli Tena Kupitia ELI MPANZU baada ya kupewa pasi ya mwisho na Jean Charles AHOUA.
Kipindi cha pili RS BERKANE walipata Goli dk ya 68 na kuufanya mchezo Kuwa 2-1 Lakini Goli lilikataliwa na VAR Kuwa kulikuwa na foul kabla ya goli
Dk ya 88 Simba wakapata Goli na kuua Mechi Kupitia Fabrice Luamba Ngoma.
FT: SIMBA 3 🆚 RS BERKANE 0
BADO UMEITUNZA ILE COMMENT MKUUNimetunza hii comment
Nabii wa uongo wewe umeona matokeo?Jana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco.
Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira kambani.
Dk ya 42 Simba wakapata Goli Tena Kupitia ELI MPANZU baada ya kupewa pasi ya mwisho na Jean Charles AHOUA.
Kipindi cha pili RS BERKANE walipata Goli dk ya 68 na kuufanya mchezo Kuwa 2-1 Lakini Goli lilikataliwa na VAR Kuwa kulikuwa na foul kabla ya goli
Dk ya 88 Simba wakapata Goli na kuua Mechi Kupitia Fabrice Luamba Ngoma.
FT: SIMBA 3 🆚 RS BERKANE 0
Au ulikosea kuandika timuJana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco.
Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira kambani.
Dk ya 42 Simba wakapata Goli Tena Kupitia ELI MPANZU baada ya kupewa pasi ya mwisho na Jean Charles AHOUA.
Kipindi cha pili RS BERKANE walipata Goli dk ya 68 na kuufanya mchezo Kuwa 2-1 Lakini Goli lilikataliwa na VAR Kuwa kulikuwa na foul kabla ya goli
Dk ya 88 Simba wakapata Goli na kuua Mechi Kupitia Fabrice Luamba Ngoma.
FT: SIMBA 3 🆚 RS BERKANE 0
mkuu sina uhakika kama umeshaamka katika ndoto yako. maana huku makolo wameshanyang''anywa kombe kule zanzibar. Kweli nimemini kuwa uchawi hauvuki maji.Jana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco.
Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira kambani.
Dk ya 42 Simba wakapata Goli Tena Kupitia ELI MPANZU baada ya kupewa pasi ya mwisho na Jean Charles AHOUA.
Kipindi cha pili RS BERKANE walipata Goli dk ya 68 na kuufanya mchezo Kuwa 2-1 Lakini Goli lilikataliwa na VAR Kuwa kulikuwa na foul kabla ya goli
Dk ya 88 Simba wakapata Goli na kuua Mechi Kupitia Fabrice Luamba Ngoma.
FT: SIMBA 3 [emoji739] RS BERKANE 0