Daaah mwamba Yani akilin mwangu kama kweli vileJana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco.
Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira kambani.
Dk ya 42 Simba wakapata Goli Tena Kupitia ELI MPANZU baada ya kupewa pasi ya mwisho na Jean Charles AHOUA.
Kipindi cha pili RS BERKANE walipata Goli dk ya 68 na kuufanya mchezo Kuwa 2-1 Lakini Goli lilikataliwa na VAR Kuwa kulikuwa na foul kabla ya goli
Dk ya 88 Simba wakapata Goli na kuua Mechi Kupitia Fabrice Luamba Ngoma.
FT: SIMBA 3 π RS BERKANE 0
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Laban una kazi ya kukuingizia kipato? Maana nikikaa masaa matano nikirudi nakuta nyuzi na post zako kibao kuhusu Simba
Hii ndoto ni mfuJana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco.
Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira kambani.
Dk ya 42 Simba wakapata Goli Tena Kupitia ELI MPANZU baada ya kupewa pasi ya mwisho na Jean Charles AHOUA.
Kipindi cha pili RS BERKANE walipata Goli dk ya 68 na kuufanya mchezo Kuwa 2-1 Lakini Goli lilikataliwa na VAR Kuwa kulikuwa na foul kabla ya goli
Dk ya 88 Simba wakapata Goli na kuua Mechi Kupitia Fabrice Luamba Ngoma.
FT: SIMBA 3 π RS BERKANE 0
Umeota kinyumenyume mkuuJana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco.
Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira kambani.
Dk ya 42 Simba wakapata Goli Tena Kupitia ELI MPANZU baada ya kupewa pasi ya mwisho na Jean Charles AHOUA.
Kipindi cha pili RS BERKANE walipata Goli dk ya 68 na kuufanya mchezo Kuwa 2-1 Lakini Goli lilikataliwa na VAR Kuwa kulikuwa na foul kabla ya goli
Dk ya 88 Simba wakapata Goli na kuua Mechi Kupitia Fabrice Luamba Ngoma.
FT: SIMBA 3 π RS BERKANE 0
Iyo ndoto itimieBado haikutosha simba kubeba kombe
Hiyo ndoto Yako mbaya sana na imejuwa kukufurahisha mwenyewe kama ni matumaini umeyapata ila nakukatisha tamaa Simba kombe achukui trust meπ―βοΈJana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco.
Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira kambani.
Dk ya 42 Simba wakapata Goli Tena Kupitia ELI MPANZU baada ya kupewa pasi ya mwisho na Jean Charles AHOUA.
Kipindi cha pili RS BERKANE walipata Goli dk ya 68 na kuufanya mchezo Kuwa 2-1 Lakini Goli lilikataliwa na VAR Kuwa kulikuwa na foul kabla ya goli
Dk ya 88 Simba wakapata Goli na kuua Mechi Kupitia Fabrice Luamba Ngoma.
FT: SIMBA 3 π RS BERKANE 0
Mechi itamalizika kwa matokeo ya Simba 3 Berkane 1.Jana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco.
Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira kambani.
Dk ya 42 Simba wakapata Goli Tena Kupitia ELI MPANZU baada ya kupewa pasi ya mwisho na Jean Charles AHOUA.
Kipindi cha pili RS BERKANE walipata Goli dk ya 68 na kuufanya mchezo Kuwa 2-1 Lakini Goli lilikataliwa na VAR Kuwa kulikuwa na foul kabla ya goli
Dk ya 88 Simba wakapata Goli na kuua Mechi Kupitia Fabrice Luamba Ngoma.
FT: SIMBA 3 π RS BERKANE 0
Halafu matokeo yakiwa hivyo unajikausha au unakuja kupongeza "We jamaa noma sana".
Anawashwa lokundu lokuta.Hivi Laban una kazi ya kukuingizia kipato? Maana nikikaa masaa matano nikirudi nakuta nyuzi na post zako kibao kuhusu Simba
Ulkupata chakula mchana na usku?Jana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco.
Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira kambani.
Dk ya 42 Simba wakapata Goli Tena Kupitia ELI MPANZU baada ya kupewa pasi ya mwisho na Jean Charles AHOUA.
Kipindi cha pili RS BERKANE walipata Goli dk ya 68 na kuufanya mchezo Kuwa 2-1 Lakini Goli lilikataliwa na VAR Kuwa kulikuwa na foul kabla ya goli
Dk ya 88 Simba wakapata Goli na kuua Mechi Kupitia Fabrice Luamba Ngoma.
FT: SIMBA 3 π RS BERKANE 0
Kuna mwamba alisingiziwa kesi akahukumiwa miaka 3 kifungoni.Nimeoteshwa ndotoni kuwa Simba atabeba Kombe la Shirikisho, atampiga RS BERKANE jumla ya magoli 4 kwa bila. Mohamed Husein anakuwa kaptein wa kwanza kunyanyua Kombe la CAF kutoka Africa Mashariki.
Wana Simba shoneni suti za kushangilia ubingwa. Bibi yangu huwa hakosei kabisa, narudia tena bibi angu huwa hakosei kabisa