Matokeo niliyoyaona jana usiku Simba SC πŸ†š Rs Berkane

Aisee mtani huwezi amini hiyo ndoto ulipomaliza kuota ukaamka kwenda kukojoa ndoto ilihamia kwangu, basi wakati ubao ukisoma tatu bila Simba 3 Berkane 0 refa akapuliza kipyenga cha kumaliza mchezo, mshika kibendera akamwita refa akamwambia muda bado dakika 10 warudishe ndani makolo hawana hadhi ya kubeba kombe hili na kunyanyua makwapa mbele ya Yanga, basi refa akawarudisha ndani wachezaji na boli lilipoanza tena Berkane walipata penati mbili za chap chap na wakati kombe mwanamwali likiingia uwanjani Berkane wakaliona na kuipiga Simba goli safi la tatu, na huo ndio mwisho wa ndoto!!
 
Wee unataka mzee #laban apasuke kichwa? Soon ataanzisha thread yake kukupinga
 
Matokeo ni yale yale thiimba 0 berkane 2
 
Kwanini asibebe na wakati ni tatu bila. Uto hamna akili
UMecomment baada ya jamaa kuedit uzi wake.
Mwanzoni aliandika matokeo itakuwa somba 3 - 1 berkane, naona kaedit. While comment yangu ni kabla hajaedit.

BTW, mimi sio shabiki wa uto.
 
Aina nyingine ya ushuzi
 
NDOTO YAKO IMEKAA JE LEO
 
Nabii wa uongo wewe umeona matokeo?
 
Au ulikosea kuandika timu
 
mkuu sina uhakika kama umeshaamka katika ndoto yako. maana huku makolo wameshanyang''anywa kombe kule zanzibar. Kweli nimemini kuwa uchawi hauvuki maji.
 
Kolo ni kolo tu. Ndio madhara ya kulala mmevimbiwa. Ni kuota vitu vya kingese kingese kama hivi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…