Matokeo niliyoyaona jana usiku Simba SC πŸ†š Rs Berkane

Huyo Fabrice Luamba Ngoma aliyeua mechi ndiyo huyo aliyemtwanga vichwa Pin pin!! Au ni mwingine.
 
Hayo ni kwenye ndoto tu Mkuu, usijaribu kuyapa uzito ukidhani yanawezekana maana utaumia zaidi mambo yatakapokuwa vice versa (na ndivyo itakavyokuwa)

Simba kumfunga Berkane ni kwenye ndoto pekee.
Ni bora ulimueleza ukweli mapema.
 
MPWAAA TUPE YA TAR 15

TUANGALIE TUENDELEEE NA MSIMAMOO

HATUCHEZI

AMA TUINGIZE TIMU MKUUU PLS

NA KALE KA CRDB NTAKUKUNBUSHA WAKITUPATAR MAPEMAAAAAAAAA
 
mwota ndoto huona maisha mazuri akiwa ndotoni, lakini akiashaamka anakuta spana ziko pale pale.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Makelele SC.
5. Malalamiko/Lia lia SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau/Mapaka SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mwakarobo SC.
11. Mbeleko/Bebwa bebwa SC.
12. Manguruwe SC.
13. Miso Misonda SC.
14. Mikia SC.
15. Mbuzi SC.
16. Zuwena SC.
17. Khamsa Khamsa/5imba SC.
18. Kufa Kiume SC.
19. Kikanuni SC.
20. Bahasha SC.
21. Ngada SC.
22. Kolowizards SC.
23. Kamdomo SC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…