Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
- Thread starter
- #41
Kura yako pekee yako haitakupa ushindi unaoutaka kwenye chama chako, ni lazima uhamasishe wenzako waungane na ideology ya chama chako ili mkapige kura. Kujifungia tu ndani bila kupiga kampeni vya kutosha havitakupa ushindi hata kama wewe ni mwaminifu kila mwaka kupiga kura.kama kura yangu ingekuwa na nguvu kiasi hicho ningeshaona mabadiliko mda mrefu sana, sasa badala yake imekuwa kama najifurahisha tu hasa ya mwaka huu ndio nalaani sana kiasi chakuhisi nilipoteza sana mda wanguðŸ˜