Kura yako pekee yako haitakupa ushindi unaoutaka kwenye chama chako, ni lazima uhamasishe wenzako waungane na ideology ya chama chako ili mkapige kura. Kujifungia tu ndani bila kupiga kampeni vya kutosha havitakupa ushindi hata kama wewe ni mwaminifu kila mwaka kupiga kura.