Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

Punguza udini na dharau,dini hizi tuliletewa na Wazungu na Waarabu.
Hata kama, ila si kila moja ana yake?
Si kila moja anatetea yake?
Hata wewe unatetea yako, huko kutokuwa na dini ndio dini yako hiyo na unaitetea na unataka watu waje huko, hiyo pia ni zarau?
 
Kwanini usingeweka yote. Tumuone wa mwisho.

Wewe unapenda nusunusu...weka tumuone jokate, tumuone ridhiwani
 
Ilikuwa Mchaga hatapewa nchi, sasa amekuwa Mhaya!! Ubaguzi wa kikabila utatufikisha wapi!? Hao Wahaya na Wachaga wanakosa nini kuwa Viongozi wa nchi hii??! Ubaguzi na Ukabila ni sumu ya maendeleo.
Hata Wasukuma ilisemwa hawatapewa uraisi.
Tunadanganyana kwamba hatuna ubaguzi kwenye jamii yetu ilhali vitendo na kauli zetu vinadhihirisha kinyume.
Maneno kwamba Mwalimu alimkataa Kikwete kwa kuwa alijuwa kuwa waswahili hawafai kupewa nafasi ya uraisi ni ya kibaguzi. Inashangaza kwamba sasa na yeye anadaiwa kwamba alikuwa mbaguzi. Halafu Mwinyi alipewa na nani?
 
Hata kama, ila si kila moja ana yake?
Si kila moja anatetea yake?
Hata wewe unatetea yako, huko kutokuwa na dini ndio dini yako hiyo na unaitetea na unataka watu waje huko, hiyo pia ni zarau?
Nani anakwambia nataka ufuate dini yangu? Mimi wajibu ni kutoa elimu(Yohane3:16;Mithali18:8-14)
 
Hizi kura zinasema jambo moja. Kuna watu wanapoteza relevance. Ni jambo la ajabu kuona akina Makamba wamegaragazwa vibaya sana na ‘no bodies’. Tafsiri yake wakichukua na hao wengine form za Urais hawatoboi top 5
Hivi vizee vilivyoishiwa hoja vina tengeneza mahesabu hewa
 
Back
Top Bottom