Ndio huyohuyo mwenye tenda za kuagiza chemicals za mahospitalini na migodini na viwandani, ana viwanda pia burundi base iko geita ni bilionea mkubwa tu
Sasa huo uchaguzi unamsaidia nini mwananchi anayeteseka na mgao mkali wa umeme!!! Tumetengeneza system ambayo watu wanathamini umaarufu na vyeo kuliko maisha ya watu na watu wako wanashabikia uchaguzi huu uliopoteza fedha za watanzania walipa kodi walalahoi,hopeless country
Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730
Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Je, hawa ndiyo watakuwa Suluhu ya Mgawo wa Umeme nchini, Ugumu wa Maisha, Umasikini mkubwa na watasaidia kupunguza idadi ya Watanzania Milioni Saba ( 7,000,000 ) wenye Tatizo la Afya ya Akili / Uwendawazimu?
Nakupa siri, usimwambie mtu. Hapo hakuna nobody. Hao ni "umeme gang".
Huyo namba moja mahenda ni tajiri sana wa nguzo za umeme iringa na anayo kampuni yake ya masuala ya umeme na nguzo inaitwa Qwihaya. Hao wengine inasemekana ni watu wa "wazito". Usimwambie mtu lakini.
Ni wale wale tu
Ngoja wafukua mafali na makaburi waje. Ndio utajua hao "nobody" ni watu wazito 😂😂😂
Walivyoteuliwa waislam wengi majuzi mijadala mikali ililetwa humu JF na huyu mdini sana mwenye chuki dhidi ya waislam bwana technically akasema ule ulikua ni udini
Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini. Angalia viongozi waliochaguliwa kuanzia halimashauri kuu, Uvccm mpaka ngazi ya kata ni udini mtupu. Kama huu uchaguzi umefanyika kumridhisha Rais basi watu...
www.jamiiforums.com
Sasa leo yametoka haya majina hata hajalalamika hii inaonyesha dhahiri shahiri kwamba humu jf kuna watu wana chuki sana dhidi ya uislam
Wao kwa akili zao fupi fupi hivi wanadhani kuuchukia uislam na waislam itasaidia?Wajuwe watakufa wakiiacha hii dini ikikua kwa kasi duniani
Tuacheni udini na ukabila hauna faida yoyote humu duniani
Haya majina ndo haya mbona hawajafungua vinywa vyao?
Wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730
Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730
Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.