Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

Ndio huyohuyo mwenye tenda za kuagiza chemicals za mahospitalini na migodini na viwandani, ana viwanda pia burundi base iko geita ni bilionea mkubwa tu
aiseee chacha ni bilionea??? hahahaha acheni vichekesho jamani, chacha ni masikini tuu kama wengine
 
Kuna sehemu sijaelewa, viongozi baadhi wa chama kama Shaka na Christina na wao wanagombea
 
Sasa huo uchaguzi unamsaidia nini mwananchi anayeteseka na mgao mkali wa umeme!!! Tumetengeneza system ambayo watu wanathamini umaarufu na vyeo kuliko maisha ya watu na watu wako wanashabikia uchaguzi huu uliopoteza fedha za watanzania walipa kodi walalahoi,hopeless country
 
William Lukuvi kakwama baada ya miaka 20+ ya kuwa mjumbe.

Kama naona kikao cha genge la wahuni kuelekea mkutano mkuu Lukuvi si anataka uraisi yeye badala ya kulamba asali na kutulia; tumtoe.

Mwenzake mzee Wassira kama Mwigulu anaenda na upepo mtumbwi ukitoboka tu wanakamata mabaya wale twarukia upande mwingine.

Uzalendo wa CCM ni kwa mwenyekiti tu sio nchi.
Ebanaeee
 
Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.

Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730

Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Je, hawa ndiyo watakuwa Suluhu ya Mgawo wa Umeme nchini, Ugumu wa Maisha, Umasikini mkubwa na watasaidia kupunguza idadi ya Watanzania Milioni Saba ( 7,000,000 ) wenye Tatizo la Afya ya Akili / Uwendawazimu?
 
Nakupa siri, usimwambie mtu. Hapo hakuna nobody. Hao ni "umeme gang".


Huyo namba moja mahenda ni tajiri sana wa nguzo za umeme iringa na anayo kampuni yake ya masuala ya umeme na nguzo inaitwa Qwihaya. Hao wengine inasemekana ni watu wa "wazito". Usimwambie mtu lakini.

Ni wale wale tu

Ngoja wafukua mafali na makaburi waje. Ndio utajua hao "nobody" ni watu wazito 😂😂😂

Nikikudanganya niite mbwa nimekaa pale 👉🏿👉👉 😂😆😆😆
Poa mbwa
 
Walivyoteuliwa waislam wengi majuzi mijadala mikali ililetwa humu JF na huyu mdini sana mwenye chuki dhidi ya waislam bwana technically akasema ule ulikua ni udini
Sasa leo yametoka haya majina hata hajalalamika hii inaonyesha dhahiri shahiri kwamba humu jf kuna watu wana chuki sana dhidi ya uislam

Wao kwa akili zao fupi fupi hivi wanadhani kuuchukia uislam na waislam itasaidia?Wajuwe watakufa wakiiacha hii dini ikikua kwa kasi duniani

Tuacheni udini na ukabila hauna faida yoyote humu duniani

Haya majina ndo haya mbona hawajafungua vinywa vyao?
Wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.

Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730

Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Kuna tofauti kuubwa sana ya kuteuliwa na kuchaguliwa!!! Naishia hapa!!!
 
Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.

Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730

Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Kama nafasi 5 zaidi zisingeongezwa hadi kufikia wajumbe 20 wa Tanzania Bara kutoka CCM, wafuatao nao wangalikuwa wamepotea;

10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428

Wana kila sababu ya kumshukuru Mwenyekiti Taifa na yule Mzee mstahafu.
 
Kwasasa wajumbe hawa wanatengeneza 50/50 ndani ya CCM

Jamani tusicheke tutakuja kulia endapo mama samia hatagombea 2025

Yule mzee anaweza kuwatumia hawa wajumbe kufanya atakavyo

Kwa sisi wakongwe tunaelewa
 
aiseee chacha ni bilionea??? hahahaha acheni vichekesho jamani, chacha ni masikini tuu kama wengine
Kwa Tanzania ni bilionea,unafikiri kumiliki biashara anazomiliki ni mchezo ?
 
Ana kipi Exceptional? Kwa nini mnahadaiwa kiurahisi hivyo? Huyo Bashungwa ana lipi alilowahi fanya?
Kwa CCM nayoijua usishangae ni kweli!! wao wanapenda wagombea incompetent Ili iwe rahisi kuiba na kumcontrol.
 
Back
Top Bottom