Matokeo: Vodacom Premier League, Prisons 2 - 0 Yanga SC uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya

65' Mohamed Rashid akosa goli la wazi.. Ilikuwa nafasi nzuri kwake
 
Mpira kuelekea lango la Tanzania Prisons. Lakini mabeki wanaokoa

Mchezaji Tanzania Prisons anapewa kadi ya njano. Kwa mchezo usikuwa mzuri
 
Update; Mbao FC 1-0 Ndanda FC Uwanja wa CCM Kirumba
 
72' Tanzania Prisons 1-0 Yanga SC
 
Kwa matokea kama itakuwa hivi. Yamkini Simba SC atakuwa bingwa rasmi 2017/2018
 
81' Yanga wanafanya mabadiliko..
Anatoka Akilimali na Paul na nafasi zao wanachukua Amis Tambwe na yusuf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…