Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Sijui ni kwavile nimeshangilia sana!Mohamed Rashid akosa goli la wazi kabisa.. Ilikuwa ni hatari sana lango la Yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui ni kwavile nimeshangilia sana!Mohamed Rashid akosa goli la wazi kabisa.. Ilikuwa ni hatari sana lango la Yanga
Ni mwaka wa taaaaaàaaaaabu na shiiiiiiiida,tusipopata vidonda vya tumbo basi hatupati tena..!!Mwaka huuuuuuu daaaaahaa
Mbona unagunaMmh.
Hamna kitu.Mbona unaguna
Sina nia mbaya ni utabiri tuYanga watafungwa goli moja halafu ndo hiyo hiyo goal
Naona utabiri wangu unatimiaHamna kitu.
Aisee we jamaaa...Naona utabiri wangu unatimia
Naona aisee. Hongera ila jitahidi na game zingine zisiwe za Yanga pekee.Naona utabiri wangu unatimia
Hahahaaaa. Lol.Watukabidhi ubingwa wetu.
Na ya mrudiano na Alger mnapigwa home 0-2Naona aisee. Hongera ila jitahidi na game zingine zisiwe za Yanga pekee.
Hahahaaaa. Lol.
Mkuu mahesabu yanakuja vizuriAisee we jamaaa...
Hahaaaa. Kiukweli huu Ubingwa ni wenu.Ahahaha mmetuachia ubingwa wenyewe.