WoyoooooooooooMoja inanihusu leo.
Ngoja nitafute ED ya kuchelewa kesho kabisa.
DuuuhhhMbele mali ila nyuma nako ni kutamu zaidi....unapatikana wapi wewe?
natania mkuu, ila simba oyeeeeeSi kazi ndogo
Mkuu dharau sasa hiiHii timu ni ya tanzania au somalia mbona wanakula vichapo sana
mnamjua liver nyie?Acha tujiandae na mashindano makubwa bhana, sisi level yetu ni A.Madrid mkuu.
Nikosa kukata tamaamnamjua liver nyie?
mmekula 5 juz kati
Mko mbele kwa kuongoza kufungwa kwa goli mbili leo!Mbali na yote tunayopitia bado sikati tamaa. Kila la kheri timu yangu pendwa Yanga.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Tulia uone mwarabu atakavyotafuta mpira kwa Touch tarehe 16 pale taifa mkuu.mnamjua liver nyie?
mmekula 5 juz kati
Hii timu ni ya tanzania au somalia mbona wanakula vichapo sana
Vumilia tu mkuu, huu ni msimu wa maumivu kwa wana Yanga, tena bado kuna maumivu mengine yanakuja maana msimu bado haujaisha.Yani yanga ilichonifanya juzi na leo hali vile wamenikera xn
Tff walishaongelea hii ishu, hawa jamaa wakubali tu sasa hivi kanuni, taratibu na sheria za soka zinafuatwa. Malinzi hayupo! Hata msimu uliopita malinzi alitupokonya point tatu na kuwapa kagera.Yani Kumbe Hawa NjaaKali FC Bado Hawajaamini Kuwa Simba Bingwa πππ
Eti wanaendelea Kuzifatilia Points Za Mbeya City Kimyakimya Kama walivyokuwa Wakimfukuza Mwizi Kimyakimya.
Ila mzee akilimali atawavusha daraja hili.Tatizo yanga mlimfukuza Manji, na mtazidi kua na hali mbaya mpk mdate