Matokeo: Vodacom Premier League, Prisons 2 - 0 Yanga SC uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya

Ndanda fc njoo muinunue yanga ili mbaki kwenye ligi
 
Tff walishaongelea hii ishu, hawa jamaa wakubali tu sasa hivi kanuni, taratibu na sheria za soka zinafuatwa. Malinzi hayupo! Hata msimu uliopita malinzi alitupokonya point tatu na kuwapa kagera.
Matokeo yalikuwa ngapi ngapi Kagera vs Simba
 
Hajar njoo huku.. barafuyamoto anasumbua... [emoji196] [emoji196] [emoji16] [emoji16]
 
Bwihi [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Si sababu ya msingi Kwa yanga Bali miaka mitatu nyuma yanga ilizoezhwa vibaya na manji.ki ukweli manji alikua akiwatafunia sana yanga Kwa kutumia mifweza yake Kwa kushilikiana na Jamal malinzi.he mmeshasahau marefa waliosimamishwa Kwa lushwa.manji alikua yupo tayali kutoa kiasi chochote cha fedha ili mladi yanga ipate ubingwa.hii ndio yanga uwezo wake .ongera Mr magufuli vita dhidi ya mafidhina ya ufisadi imeusaidia simba kua bingwa .
 
Kama tatizo Ni malinzi na manji kwanini mlifukuza kocha? Kwanini mnaroga,kwanini mliamua kusajili kwa gharama kubwa?
 
Kweli wewe ni shabiki wa kweli[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Rafiki yangu mumu nasikia kaacha kuishabikia [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Nyoo mkwende kule.mlipo toka suruu na singida tulimsikia huyo msajigwa alivyokua akiongea Kwa nyodo na maringo eti hoo bado kuna mechi nyingi mbele badara ya kukazana kukijenga nyodo kibaooo.mkomage kujita wa kimataifa WA kimataifa mtakua nyie.mlizoea kutafuniwa na manji nyie mnajimezea tu..mlizoea kuwa na MTU wenu tff malinzi Leo yupo lupango pambaneni na hali yenu.tunamshukuru Mzee magu Kwa kuyakomesha mafisadi dizaini ya manjo wenu na bado
 
Mimi Sijafurahi Hata Kidogo Kuchukua Ubingwa Kirahisirahisi Hivi! Na Kilichonikera Zaidi Ni Huku Kubeba Ubingwa Bila Ya Sisi Kucheza! Tutapewaje Ubingwa Kama Wa Mezani jamani!!!!!!!! Kiukweli leo Hawa Wajelajela Hawaja tutendea Haki!

Mimi Ningewashauri [HASHTAG]#TFF[/HASHTAG] wawatunuku [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Kinyemela Zile Points 3 za Mabeya City Angalau Tupate Upinzani Kidogo Kuelekea Mwisho Wa Msimu.
 
aminas kama nakuona huko uliko.
Hahahaha Dear, Hmmmm!! Uwez Amin Mpira wenyewe Hata Sikuufatilia, Ndo nakuja Ona Alerts Yako Nikajua tuu Ndoo tumebeba.

Nilikuwa nasubilia jmosi ndo Tubebe Ndoo, Ila Naona Mtani Umeturahisishia Aksante tena na tena.

MWAKA WETU.

Marudiano Usiniache Twende Wote InshaAllah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…