Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo yalikuwa ngapi ngapi Kagera vs SimbaTff walishaongelea hii ishu, hawa jamaa wakubali tu sasa hivi kanuni, taratibu na sheria za soka zinafuatwa. Malinzi hayupo! Hata msimu uliopita malinzi alitupokonya point tatu na kuwapa kagera.
Wewe tu mzee wa bucketHa ha ha!
Bucket wapi?
Wewe tu mzee wa bucket
Si sababu ya msingi Kwa yanga Bali miaka mitatu nyuma yanga ilizoezhwa vibaya na manji.ki ukweli manji alikua akiwatafunia sana yanga Kwa kutumia mifweza yake Kwa kushilikiana na Jamal malinzi.he mmeshasahau marefa waliosimamishwa Kwa lushwa.manji alikua yupo tayali kutoa kiasi chochote cha fedha ili mladi yanga ipate ubingwa.hii ndio yanga uwezo wake .ongera Mr magufuli vita dhidi ya mafidhina ya ufisadi imeusaidia simba kua bingwa .Duhhh ata kama adui mwombee njaa ila hii ya Yanga inatia huruma, yani sub kuna wachezaji wawili tu na wimbi la wachezaji kuendelea kugoma linawezekana kuendelea kuongezeka
Nina wasi wasi ata match ya shirikisho Yanga atakufa tena uwanja wa nyumbani maana wachezaji wanaodai mafao yao sidhani kama watakuwa washalipwa na ata hawa wanaocheza ni wale wanaodai pesa kiduchu kwakuwa hawachezi mara kwa mara
ImprovementsFrom 4G to 2G?
Kama tatizo Ni malinzi na manji kwanini mlifukuza kocha? Kwanini mnaroga,kwanini mliamua kusajili kwa gharama kubwa?Si sababu ya msingi Kwa yanga Bali miaka mitatu nyuma yanga ilizoezhwa vibaya na manji.ki ukweli manji alikua akiwatafunia sana yanga Kwa kutumia mifweza yake Kwa kushilikiana na Jamal malinzi.he mmeshasahau marefa waliosimamishwa Kwa lushwa.manji alikua yupo tayali kutoa kiasi chochote cha fedha ili mladi yanga ipate ubingwa.hii ndio yanga uwezo wake .ongera Mr magufuli vita dhidi ya mafidhina ya ufisadi imeusaidia simba kua bingwa .
Aiseeeee.
Nyoo mkwende kule.mlipo toka suruu na singida tulimsikia huyo msajigwa alivyokua akiongea Kwa nyodo na maringo eti hoo bado kuna mechi nyingi mbele badara ya kukazana kukijenga nyodo kibaooo.mkomage kujita wa kimataifa WA kimataifa mtakua nyie.mlizoea kutafuniwa na manji nyie mnajimezea tu..mlizoea kuwa na MTU wenu tff malinzi Leo yupo lupango pambaneni na hali yenu.tunamshukuru Mzee magu Kwa kuyakomesha mafisadi dizaini ya manjo wenu na badoKweli wewe ni shabiki wa kweli[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Rafiki yangu mumu nasikia kaacha kuishabikia [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Hahahaha Dear, Hmmmm!! Uwez Amin Mpira wenyewe Hata Sikuufatilia, Ndo nakuja Ona Alerts Yako Nikajua tuu Ndoo tumebeba.aminas kama nakuona huko uliko.