Matokeo vyuoni ni dissaster

Me cjaelewa,ina maana mzumbe wanafunzi huwa wanadisco kwa matokeo ya semister ya kwanza au utaratibu wao ni tofauti na wa vyuo kama udsm na sua?
 
Me cjaelewa,ina maana mzumbe wanafunzi huwa wanadisco kwa matokeo ya semister ya kwanza au utaratibu wao ni tofauti na wa vyuo kama udsm na sua?

MZUMBE wanadisko kwa semester ukiwa na SUPP4 tu
 
Habari mbaya sana hizi za kudisco, bora mtu afanye supp kuliko kumdisco...its unjustice and unfair.

Nendeni open university, shule imekuwa simplied sana kule more freedom, less fees, less supp.
 
Me cjaelewa,ina maana mzumbe wanafunzi huwa wanadisco kwa matokeo ya semister ya kwanza au utaratibu wao ni tofauti na wa vyuo kama udsm na sua?

mkuu kwani udsm uwezi uka dsco kwa matokeo ya semister moja?...let say first year first semister huwa hawa dsco?...
 
Mnisaidie mie jamani nadhani matokeo yanayotolewa sasa ni kwa muhula mmoja tu bado wa pili, sasa nikiambiwa mtu amedisco kwa semester moja nasita kidogo kuelewa maana mkusanyiko wa masomo na overall GPA bado!!!
 
Mbona hatusikii malalamiko kutoka vyuo vya kata kama SAUT,RUCo,ST.JOHN,MWENGE,ST.JOSEPH,TEKU? jibu ni kwamba shule rahisi WAHADHIRI wanaendeshwa naMANAGEMENT ya chuo wawape marks na miG.P.A mikubwa

rushwa ya NGono imetawalaaa saNaaa... coz wanafunzi wengiii huko ni vilaza... waliopata dvshn 3 za mwisho
 
Mbona hatusikii malalamiko kutoka vyuo vya kata kama SAUT,RUCo,ST.JOHN,MWENGE,ST.JOSEPH,TEKU? jibu ni kwamba shule rahisi WAHADHIRI wanaendeshwa naMANAGEMENT ya chuo wawape marks na miG.P.A mikubwa

Tena kweli vyuo vya kata hakuna ku-disco, lecturer akileta fyoko anatemwa fasta asije akaharibu soko.
 
Mnisaidie mie jamani nadhani matokeo yanayotolewa sasa ni kwa muhula mmoja tu bado wa pili, sasa nikiambiwa mtu amedisco kwa semester moja nasita kidogo kuelewa maana mkusanyiko wa masomo na overall GPA bado!!!

Mkuu ina maana wewe chuo ulichosoma (na assume umefika chuo) semester ya kwanza kama ulikuwa na masomo let say 8, ukifeli 7 ilikuwa unaendelea tu?
 
Mkuu ina maana wewe chuo ulichosoma (na assume umefika chuo) semester ya kwanza kama ulikuwa na masomo let say 8, ukifeli 7 ilikuwa unaendelea tu?

hapo ndo ujue sasa vyuo vya kata ni balaa!! Watu wanapita tu.
 
hapo ndo ujue sasa vyuo vya kata ni balaa!! Watu wanapita tu.

acha u.s.e.n.g.e wewe..vyuo vingine gpa inakuwa calculated per year n not semester....mfano ARDHI UNIVERSITY n udsm nao wana iyo system...so usi generalize kuwa kisa wengine hawajudge per semester basi vyote ni kata...kwanza we umesoma wapi chuo(kama ulifanikiwa kufika)mkuu??
 
Acha hzo unamansha wanaomalza udsm au mzumbe ndo bora sana kwa vgezo vp?
 
Mkuu ina maana wewe chuo ulichosoma (na assume umefika chuo) semester ya kwanza kama ulikuwa na masomo let say 8, ukifeli 7 ilikuwa unaendelea tu?

mkuu vyuo vingi ka ARDHI..UDSM nk wanacalculate gpa wa wanaevaluate uwezo wa wanafunzi per year na si semester..so ni utaratibu wa kawaida na ndio common zaidi kwny vyuo vingi tz
 
Mzumbe hakuna calculation ya gpa ukiingza 4 ndan ya semister moja you go home 2 start afresh
 
vyuo vingne bhaNaa wanajifaNya wako so deep katika sualaa zima la education wakati hata top 100 ya vyuo vya africa chaliiii
 
daah hii inaitwa karibu tena

hope ardhi university hatuna hii system ya ndugu zetu mzumbe.......maana daah hii thread imenikataa maini ukicheki tokeo letu halijatokaa.

daah noma kweli, mtu yupo likizo nw then tokeo limetoka umediscooo daah yaani yaani ndo likizo likizoforever mpaka next year ...!pole kwa wahanga wote

USHAURI KWA MZUMBE ACADEMIC AFFAIRS: tumieni matokeo ya semister zote mbili ku-judge continuity or discontinuity kwa mwanafunzi . wengine first year hio semister ya kwanza wanakuwa wageni na chuo.
 
ebu naomba nifafanue hapa mzumbe university units zinafanana namaanisha kuwa kila somo lina units 2 so ukifeli masomo 4 kwenu ila vyuo vingne units za masomo ni tofauti somo moja linaweza kua na units 2 lingine1 lingine 3 kwa hiyo mfumo huu ili udisco lazima ufanye masomo yote ya semister mbili hlf watafute jumla ya units kama ukufikisha units fulani wanazozitaka ndio udisco ivyo huwezi kudisco kwa masomo ya semister moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…