Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me cjaelewa,ina maana mzumbe wanafunzi huwa wanadisco kwa matokeo ya semister ya kwanza au utaratibu wao ni tofauti na wa vyuo kama udsm na sua?
Me cjaelewa,ina maana mzumbe wanafunzi huwa wanadisco kwa matokeo ya semister ya kwanza au utaratibu wao ni tofauti na wa vyuo kama udsm na sua?
Another beautiful week!!
Elimu yetu inazidi kuporomoka sana hasa kwa shule za sekondari, watawala wameamua kufanya siasa katika elimu yetu, matokeo yake vijana wanaofika vyuo vikuu wanakuwa na uwezo mdogo sana katika kupambanua mambo, matokeo yake ni kuwapo kwa mass failures vyuoni.
Mzumbe University kwa mfano, wametoa matokeo ya semester ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2013/14. ukiona matokeo hayo yanatisha. Kwa mfano katika kozi BBA Marketing kulikuwa na wanafunzi 79, matokeo yake 11 tu ndo wamefaulu, na 14 wamedisco - discontinuation, waliobaki wamepata sup. Kwa upande wa postgraduate hali ni mbaya pia, hasa MBA na MSc Economics. Mpaka tunasikia watu wanajiua, ni ujinga lakini, never take aout lives.
Chuo cha madini DODOMA hali ni hiyo hiyo, matokeo yake nasikia wazazi na watoto wao wameandamana kushinikiza waliofeli waendelee na chuo. Thank God mpaka sasa msimamo wa chuo umekuwa ni wanafunzi hao kutoendelea maana hawanasifa. Ingawa katibu mkuu (Maswi) inasemekana anashinikiza warudi kwani anadai itakuwa ni skendo wizarani kwake (chuo cha madini kinasimamiwa na wizara ya nishati na madini) - another politics on education
Jamani watoto/wanafunzi someni, acheni kushinda fb, instergram and the like, wazazi na ndugu zenu mnawaumiza kwa ada na hela ya kujikimu, then unarudi umedisco so sad!
wanasiasa achenu kutrade na elimu ya sekondari, chuoni hayo makitu yenu hayapo, vinginevyo tuanze kuchimba makaburi kabisa maana watajinyonga wengi tu
ni hayo tu
Mbona hatusikii malalamiko kutoka vyuo vya kata kama SAUT,RUCo,ST.JOHN,MWENGE,ST.JOSEPH,TEKU? jibu ni kwamba shule rahisi WAHADHIRI wanaendeshwa naMANAGEMENT ya chuo wawape marks na miG.P.A mikubwa
MZUMBE wanadisko kwa semester ukiwa na SUPP4 tu
Mbona hatusikii malalamiko kutoka vyuo vya kata kama SAUT,RUCo,ST.JOHN,MWENGE,ST.JOSEPH,TEKU? jibu ni kwamba shule rahisi WAHADHIRI wanaendeshwa naMANAGEMENT ya chuo wawape marks na miG.P.A mikubwa
rushwa ya NGono imetawalaaa saNaaa... coz wanafunzi wengiii huko ni vilaza... waliopata dvshn 3 za mwisho
Mnisaidie mie jamani nadhani matokeo yanayotolewa sasa ni kwa muhula mmoja tu bado wa pili, sasa nikiambiwa mtu amedisco kwa semester moja nasita kidogo kuelewa maana mkusanyiko wa masomo na overall GPA bado!!!
Mkuu ina maana wewe chuo ulichosoma (na assume umefika chuo) semester ya kwanza kama ulikuwa na masomo let say 8, ukifeli 7 ilikuwa unaendelea tu?
hapo ndo ujue sasa vyuo vya kata ni balaa!! Watu wanapita tu.
Mkuu ina maana wewe chuo ulichosoma (na assume umefika chuo) semester ya kwanza kama ulikuwa na masomo let say 8, ukifeli 7 ilikuwa unaendelea tu?