Matokeo vyuoni ni dissaster


wamebadili kidogo sasa hvi kila nusu ya mwaka unapimwa
 
Kwa hiyo mkuu unataka kuniambia UDSM unaweza ukafeli masomo yote (kama ni 7; unafeli yote 7) na bado ukaendelea na semester ya pili? is it??
ardhi inawezekana ..cjajua udsm but nao wana tathmini kwa mwaka not semester
 
ni kweli inabidi KUJITAHIDI kusoma kwa BIDII
 
Tunashukuru sisi wengne tuliopitia matriculation ya wakti huo,uclas, Muhas wote walikuwa UDSM
 

Mzumbe kila somo lina units zake. Kuna 2, kuna 3.
No matter the units....ukiingiza sup 4 umedisco.
Ukiwa na incomplete hata ya assignment umedisco.
Tumeshajizoelea wengine ndo tunamalizia semester ya mwisho ya masomo ya degree
 

Sasa hivi sio kwa mwaka mmoja wa masomo tu. Mfano mwaka huu jumla ukawa na sup 3. Mwakani ukiingiza kimoja tu inafanya jumla kuwa nne. Umedisco
 
Mfumo wa ku disco chuo kikuu cha DSM ukitaka kuufahamu unaweza soma kwenye prospectus na ukafahamu taratibu. Si lazima wafanane na vyuo vingine ila Kwa kuwa walianza wao, waliofuatia kuwa na utaratibu wao pia ilikuwa sahihi. Siyo ku-copy na ku-paste kila taratibu za UDSM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…