Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu

Mkuu Simba unahiusisha vipi na huu uzi , unamaana wewe huoni ubovu was Yanga? Timu ata kupiga pasi 6 zote zifike haiwezi.
Narudia Tena huu upepo utakata muda si mrefu na utanielewa namaanisha nini
Mkuu mikia wanapiga pasi ngapi

Halafu mikia wanakubali vipi kuongozwa na timu ambayo haiwezi hata kupiga pasi 6 zifike? Basi wao watakuwa hawafikishi hata pasi 3

By the way sikulaumu, maana hata mimi ningekuwa shabiki wa mikia roho ingeniuma sana
 
Kuja kukata upepo si hata Kagere atakuwa amestaafu ko hakuna mabadiriko mpaka mwisho wa ligi
[emoji3][emoji3][emoji3]subiri mechi 5 zijazo mtakimbiana humu, mtatafuta mapango ya kujificha
 
Mkuu mikia wanapiga pasi ngapi

Halafu mikia wanakubali vipi kuongozwa na timu ambayo haiwezi hata kupiga pasi 6 zifike? Basi wao watakuwa hawafikishi hata pasi 3

By the way sikulaumu, maana hata mimi ningekuwa shabiki wa mikia roho ingeniuma sana
Mkuu Simba si unaona unavyoupiga mwingi timu inaeleweoa
Unamuona Chama? Utamfananisha na mchezaji gani pale Yanga?
Tuongee uhalisia
 
Mkuu Simba si unaona unavyoupiga mwingi timu inaeleweoa
Unamuona Chama? Utamfananisha na mchezaji gani pale Yanga?
Tuongee uhalisia
Mshabiki wa simba ataongeaaaaaa..... Ukimuuliza sana atamtaja Chama, hivi pale hamna wachezaji wengine?

Dar Young kuna mafundi wengi, kuna Fei Toto,Ajib, Tshishimbi....orodha ni ndefu mno

Jipangeni mshinde, mkiendelea ku draw na Lipuli Yanga haina namna ya kuwasaidia, ITAWAACHA TU.
 
[emoji1][emoji1][emoji1]hao wa Yanga labda mafundi bomba ila mpira uwezi fananisha na kina okwi, kagere, Chama na dilunga
 
Wasichokujua ni kuwa kocha zahera ndo analipa mishahara wachezaji kwa sasa. Wapi anapata pesa me sijui
 
Leo wamebahatisha Tena ngekewa wanawafunga prison na kikosi kibovu
 
Wenzio Haji Manara na sembo walikuwa na mbwembwe kama wewe sasa hivi wamekaa kimya na sembo kakimbia kabisa hapa jukwaani

Muda ukifika utaacha kabisa kupost kwenye jukwaa la michezo
Yanga hawana timu ya kubeba ubingwa
 
Wenzio Haji Manara na sembo walikuwa na mbwembwe kama wewe sasa hivi wamekaa kimya na sembo kakimbia kabisa hapa jukwaani

Muda ukifika utaacha kabisa kupost kwenye jukwaa la michezo

Mkuu sijakimbia jukwaa, NIPO. Nitakapomaliza haya majukumu yanayoniweka pembeni, nitarejea kwa miguu yote miwili kama mwanzo, tofauti na sasa ambapo nipo mguu mmoja ndani, mwingine nje.
 
Mkuu sijakimbia jukwaa, NIPO. Nitakapomaliza haya majukumu yanayoniweka pembeni, nitarejea kwa miguu yote miwili kama mwanzo, tofauti na sasa ambapo nipo mguu mmoja ndani, mwingine nje.
Tunafahamu kinachokuweka nje ni hizi dozi za Papaa Zahera naona kuna jamaa anajaribu kufuata nyayo zako
 
zahera ni moja wale waganga matapeli walio kuwa watuma msg kwa kujisia kwamba anatoka Kongo

ila ngoja benchi lianze kukosa nguvu atahama huu si msimu wa maembe
 
Yanga huwa wanachekesha sana, wakishinda kidogo sifa kibao, subirini vipigo vianze kuanzia mechi ijayo.......Mnyama anakuja kuchukua nafasi yake
mechi ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…