Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kwanini Timu nzuri na yenye hela nyingi Simba isiongoze?Ni aibu timing mbovu Kama Yanga kuongoza ligi, hi ni kielelezo kwamba ligi ya Tanzania Haina kiwango
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini Timu nzuri na yenye hela nyingi Simba isiongoze?Ni aibu timing mbovu Kama Yanga kuongoza ligi, hi ni kielelezo kwamba ligi ya Tanzania Haina kiwango
Ukweli kuntuSimba inachangamoto ya umri....hawawezi kucheza back to back...ndio maana kuna mechi wanaomba zifutwe wazee warelax kidigo
Mkuu mikia wanapiga pasi ngapiMkuu Simba unahiusisha vipi na huu uzi , unamaana wewe huoni ubovu was Yanga? Timu ata kupiga pasi 6 zote zifike haiwezi.
Narudia Tena huu upepo utakata muda si mrefu na utanielewa namaanisha nini
Mkuu Simba si unaona unavyoupiga mwingi timu inaeleweoaMkuu mikia wanapiga pasi ngapi
Halafu mikia wanakubali vipi kuongozwa na timu ambayo haiwezi hata kupiga pasi 6 zifike? Basi wao watakuwa hawafikishi hata pasi 3
By the way sikulaumu, maana hata mimi ningekuwa shabiki wa mikia roho ingeniuma sana
Mshabiki wa simba ataongeaaaaaa..... Ukimuuliza sana atamtaja Chama, hivi pale hamna wachezaji wengine?Mkuu Simba si unaona unavyoupiga mwingi timu inaeleweoa
Unamuona Chama? Utamfananisha na mchezaji gani pale Yanga?
Tuongee uhalisia
[emoji1][emoji1][emoji1]hao wa Yanga labda mafundi bomba ila mpira uwezi fananisha na kina okwi, kagere, Chama na dilungaMshabiki wa simba ataongeaaaaaa..... Ukimuuliza sana atamtaja Chama, hivi pale hamna wachezaji wengine?
Dar Young kuna mafundi wengi, kuna Fei Toto,Ajib, Tshishimbi....orodha ni ndefu mno
Jipangeni mshinde, mkiendelea ku draw na Lipuli Yanga haina namna ya kuwasaidia, ITAWAACHA TU.
Wenzio Haji Manara na sembo walikuwa na mbwembwe kama wewe sasa hivi wamekaa kimya na sembo kakimbia kabisa hapa jukwaani[emoji1][emoji1][emoji1]hao wa Yanga labda mafundi bomba ila mpira uwezi fananisha na kina okwi, kagere, Chama na dilunga
Tunafahamu kinachokuweka nje ni hizi dozi za Papaa Zahera naona kuna jamaa anajaribu kufuata nyayo zakoMkuu sijakimbia jukwaa, NIPO. Nitakapomaliza haya majukumu yanayoniweka pembeni, nitarejea kwa miguu yote miwili kama mwanzo, tofauti na sasa ambapo nipo mguu mmoja ndani, mwingine nje.
mechi ipiYanga huwa wanachekesha sana, wakishinda kidogo sifa kibao, subirini vipigo vianze kuanzia mechi ijayo.......Mnyama anakuja kuchukua nafasi yake