Dispensaries , sijui vituo vya afya , zahati .. CO ndio wakubwa huko , ndio madaktari hukoKuna watu wakisoma MD wanaona wengine waliosomea afya ni takataka..leo hii et C.O si daktari sijui yeye hajasoma hizo anatomy,physiology na pharmacology na zinginezo..ili kutibu magonjwa..acheeni roho mbaya za chuki..wote mnajenga nyumba moja mbona ku nyanganyana fito..kisa digrii.
#MaendeleoHayanaChama
Waache dharauKuna watu wakisoma MD wanaona wengine waliosomea afya ni takataka..leo hii et C.O si daktari sijui yeye hajasoma hizo anatomy,physiology na pharmacology na zinginezo..ili kutibu magonjwa..acheeni roho mbaya za chuki..wote mnajenga nyumba moja mbona ku nyanganyana fito..kisa digrii.
#MaendeleoHayanaChama
Doktari ni CO? Ndio maana mmnavujisha mitihaniTaarifa rasmi ni kwamba matokeo ya mwaka wa pili ya udaktari CO yameshikiliwa NACTE kwa vyuo vyote vya afya baada ya kusemekana paper kuvuja Tz nzima pamoja na marking scheme kupelekea GPA kuwa juu mnoo!
Yaaan madogo wangekuwa washachomoka!
Maoni yangu serikali KWANZA ibaini chuo kilichovujisha mitihani itakuwa poa sana na kukifungia kabisaa!
Ndugu usilazimishe mambo, clinical officer hajawahi kuwa daktari, ni sawa na kusema bruda ni padre...Ni nani?
Mnavujisha mitihani maana ni vilaza hata CO na MD hamjui tofauti yake!Wapeni heshima CO wote nchini coz wanachapa kazi kuliko ma MD wenu hao
Ni sawa mtu wa diploma ya uhandisi ajiite engineer! Ni kitu ambacho hakiwezekani!Kuna watu wakisoma MD wanaona wengine waliosomea afya ni takataka..leo hii et C.O si daktari sijui yeye hajasoma hizo anatomy,physiology na pharmacology na zinginezo..ili kutibu magonjwa..acheeni roho mbaya za chuki..wote mnajenga nyumba moja mbona ku nyanganyana fito..kisa digrii.
#MaendeleoHayanaChama
Ni sawa na kusema bruda aitwe padre kwa sababu anachapa kazi vizuri. Au mchanganya zege aitwe engineer kwa sababu anachapa kazi sana. Wengi wanaomfananisha CO na MD, mara nyingi ni CO wenyewe kwa sababu hawajui MD kasoma nini.Wapeni heshima CO wote nchini coz wanachapa kazi kuliko ma MD wenu hao
Kwani ukisoma physics ya O-level unafanana na aliyesoma physics ya A-level na aliyesoma physics ya A-level anafanana na aliyesoma physics ya Chuo Kikuu? Yaani umesoma Chemistry yako O-level unataka ufsnsnishwe na Magufuli, na wewe wajiita Mkemia. 😁 Shida yenu nyie CO ni uelewa mdogo saana. Hakuna njia fupi ya kuwa daktari. Kama wataka uwe MD nenda kasome MD au MBBS tena miaka walau mitano.Kuna watu wakisoma MD wanaona wengine waliosomea afya ni takataka..leo hii et C.O si daktari sijui yeye hajasoma hizo anatomy,physiology na pharmacology na zinginezo..ili kutibu magonjwa..acheeni roho mbaya za chuki..wote mnajenga nyumba moja mbona ku nyanganyana fito..kisa digrii.
#MaendeleoHayanaChama
ni kweli CO wanastahili heshima, lakini hawana sifa za kuitwa Daktari.Wapeni heshima CO wote nchini coz wanachapa kazi kuliko ma MD wenu hao
Ni sawa na kusema aliyesoma Chemistry ya O-level anafanana na Magufuli aliyesoma Chemistry hadi Chuo Kikuu. Atajiita Mkemia. Ni ujinga tu na uelewa wa ki clinical officer kufananisha basic clinical medicine ya CO na MD. Hivi ninyi mna shida gani? Najua clinical officers wengi walienda kusoma hiyo course wakidhani watakuwa madaktari, ila baada ya kufika huko wanashangaa hawajafikia level hiyo. Sasa huwa mnataka kulazimisha.Dispensaries , sijui vituo vya afya , zahati .. CO ndio wakubwa huko , ndio madaktari huko
Clinical officer n mhitimu anachosomea ni Clinical Medicine
Wa degree anasomea hiyo hiyo Clinical Medicine
MBBS anasomea hiyo hiyo Clinical Medicine + minor surgery
Hayo mambo yako wapi wewe? Daktari amuonee wivu Pharmacist? Pharmacist yupi huyo anagombana na daktari? Kwanza utayafahamiana wapi hayo wakati ulipo huoni interaction ya daktari na pharmacist.Yaani kada ya afya ina utata na wivu sana. Daktari muda wote yupo katika Shari. Hapo wanagombana wenyewe, ukigeuka kuna vita na pharmacists.
Hapa watu wanajisemea tu. Halafu wakurupukaji wanaanza kukandia bila taarifa rasmiMarking scheme ya clinical medicine level 5 huwa hazitumwi vyuoni isipokuwa level 4 so hapo tatizo limeanzia wizarani huko huko wajitafakari.
Kila mwaka mitihani huvuja Ila mwaka huu imezidi
Ule mtihan sio wa nacte ni wa wizaraNimepewa taarifa kua matokea yamefutwa , hivyo wanafunzi wote wanapaswa kurudia mitihan yao kuanzia cat one mpaka cat two then ndo watafanya nacte
Mkuu hujui asilimia kubwa ya wa tz ni vichaaKuna watu wakisoma MD wanaona wengine waliosomea afya ni takataka..leo hii et C.O si daktari sijui yeye hajasoma hizo anatomy,physiology na pharmacology na zinginezo..ili kutibu magonjwa..acheeni roho mbaya za chuki..wote mnajenga nyumba moja mbona ku nyanganyana fito..kisa digrii.
#MaendeleoHayanaChama
CO sio Daktari,acheni kurahisisha mambo..huku mitaani hata Wale wa certificate Co nao hujiita Daktari.. very sadKwahiyo CO sio daktar daa?
Wanajikweza mno,hata vile vya cheti cha CO huitwa Doctor na wanajiita hivyo.Mnavujisha mitihani maana ni vilaza hata CO na MD hamjui tofauti yake!
Nyie ndio mkifika sehem za kazi mnajiita madokta wakati hata huo uCO mmeupata kwa kuiba mtihani.
Wivu wivu wivu wivu wivu mkuuYaani kada ya afya ina utata na wivu sana. Daktari muda wote yupo katika Shari. Hapo wanagombana wenyewe, ukigeuka kuna vita na pharmacists.
Unaweza ukakataa sio daktari ila Sisi raia tunamtambua CO kama daktariCO sio Daktari,acheni kurahisisha mambo..huku mitaani hata Wale wa certificate Co nao hujiita Daktari.. very sad