OkMatokeo yanaonyesha Ufaulu kuongezeka sana.
Bofya hapo kuyapata.
Hongera Binti yangu kwa kupata A zoteMatokeo yanaonyesha Ufaulu kuongezeka sana.
Bofya hapo kuyapata.
Wakuu matokeo ya mtihani wa darasa la vii kwa mwaka 2024 yametoka.
View attachment 3138047
Matokeo ya Darasa la saba yatangazwa leo Oktoba 29, 2024 yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani Necta Dkt. Said Ally, ambapo watahiniwa 974,229 kati ya wanafunzi 1,230,774 waliosajiliwa kufanya mtihani wamefaulu kwa kupata madaraja A, B na C.
Aidha, imeeleza kuwa kwa mwaka huu wa masomo 2024, ufaulu wa jumla umepanda kwa asilimia 0.29 na kufikia asilimia 80.87 kutoka asilimia 80.58 mwaka 2023.
BONYEZA HAPA KUSOMA MATOKEO
hii ni nzuri sababu baadhi ya shule zinawaweka vijana wetu pending kusubiri matokeo yao akifanya vizuri anachukuliwa na kinyume chake.Mbona mapema kiasi hiki, ndani miezi miwili kusahihisha na kupanga matokeo
Mkuu wewe unamsongo wa mawazo unakusumbua,kama wewe huoni umuhimu Kuna wengine wanaona,harafu Kila mtu ana matumizi yake ya pesa usimpangie mtu,hao wanao somesha huko hawajawahi kukuomba hata mia.Ndio maana nasema hakuna umuhimu wowote wa kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za English Mediums.
HAYA sasa twende kazi. Toa watoto wako kwenye shule za EM wapeleke Kayumba haraka sana.
Thank me later.
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Ndio maana nasema hakuna umuhimu wowote wa kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za English Mediums.
HAYA sasa twende kazi. Toa watoto wako kwenye shule za EM wapeleke Kayumba haraka sana.
Thank me later.
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Huna AkiliNdio maana nasema hakuna umuhimu wowote wa kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za English Mediums.
HAYA sasa twende kazi. Toa watoto wako kwenye shule za EM wapeleke Kayumba haraka sana.
Thank me later.
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Haijafika miezi miwiliMbona mapema kiasi hiki, ndani miezi miwili kusahihisha na kupanga matokeo
Hayana uhalisia sana.Mbona mapema kiasi hiki, ndani miezi miwili kusahihisha na kupanga matokeo
Huu ni mtizamo potofu, wengi hawapendi watoto wao wasome Kayumba, tatzo ni kipato.Ndio maana nasema hakuna umuhimu wowote wa kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za English Mediums.
HAYA sasa twende kazi. Toa watoto wako kwenye shule za EM wapeleke Kayumba haraka sana.
Thank me later.
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»