LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Afadhali umesema wewe mkuu. Watanzania wengi hawajielewi kabisaNina kipato kinachovuka 2M kwa mwezi lakini kijana wangu yupo shule za serikali.
Huu ujinga wa kusomesha English medium sijaona faida yake maana unakuta mtu anajikakamua hadi kuingia madeni kusomesha English medium matokeo yake wanakuja kugombania ajira ya laki saba na aliyesoma bure.
Sio kweli kwamba kila ambaye anasomesha mtoto shule za serikali shida ni kipato bali ni namna mzazi anavyolitazama jambo husika kwa angle yake.