muhamar Gadaf
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 1,101
- 1,050
safi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asilimia 0.29 na wanaume ndio Wanaongoza kwa kufaulu kuliko Wanawake yaan Zuchu anapata wafuasi wengi sana huko uswahiliniMatokeo yanaonyesha Ufaulu kuongezeka sana.
Nchi ilikuwa maskiniSasa unakuta mko mzima una shule ya secondary moja tu
Hawana akili hao..Anajifariji tu, Elimu nzuri lazima iwe na gharama.
Kachukua akili zakoNamshukuru Mungu sana, binti yangu pia kapasua vema. All the best for her
Haaah kivipi mkuuKachukua akili zako
Teknolojia imebadilika. Na siku hizi tunachukua walimu wengi kwenda kusahihisha. So kazi inakuwa ya muda mfupiMbona mapema kiasi hiki, ndani miezi miwili kusahihisha na kupanga matokeo