Matokeo ya darasa la Saba kwa Mwaka 2024 yatoka, ufaulu wapanda kwa asilimia 0.29

Nina kipato kinachovuka 2M kwa mwezi lakini kijana wangu yupo shule za serikali.

Huu ujinga wa kusomesha English medium sijaona faida yake maana unakuta mtu anajikakamua hadi kuingia madeni kusomesha English medium matokeo yake wanakuja kugombania ajira ya laki saba na aliyesoma bure.

Sio kweli kwamba kila ambaye anasomesha mtoto shule za serikali shida ni kipato bali ni namna mzazi anavyolitazama jambo husika kwa angle yake.
Faida ipo, ni english language, watanzania kiswahili kimetulemaza sana kiasi hata kwenye mijadalaya maana inatushinda. Watu wanagombea ajira za laki saba kweli, lakini sababu kubwa ni kuwa hatuna exposure za kutosha sababu ga kutojua lugha vizuri, wakenya wanatupiga gape hapo, wanapata international opportunities kwa ajili ya lugha.
 
Wakuu matokeo ya mtihani wa darasa la vii kwa mwaka 2024 yametoka.
View attachment 3138047
Matokeo ya Darasa la saba yatangazwa leo Oktoba 29, 2024 yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani Necta Dkt. Said Ally, ambapo watahiniwa 974,229 kati ya wanafunzi 1,230,774 waliosajiliwa kufanya mtihani wamefaulu kwa kupata madaraja A, B na C.

Aidha, imeeleza kuwa kwa mwaka huu wa masomo 2024, ufaulu wa jumla umepanda kwa asilimia 0.29 na kufikia asilimia 80.87 kutoka asilimia 80.58 mwaka 2023.

BONYEZA HAPA KUSOMA MATOKEO
Hakuna hamasa. Sababu hakuna shule Bora Wala mshindi wa kwanza au shule ya mwisho ili kujipima na kuweka bidii.
 
Faida ipo, ni english language, watanzania kiswahili kimetulemaza sana kiasi hata kwenye mijadalaya maana inatushinda. Watu wanagombea ajira za laki saba kweli, lakini sababu kubwa ni kuwa hatuna exposure za kutosha sababu ga kutojua lugha vizuri, wakenya wanatupiga gape hapo, wanapata international opportunities kwa ajili ya lugha.
Duh kwa hiyo waingereza wote wana opportunity?
 
5m for what? You seems like someone who has never taught about something called " Value for money"

All the best think in this life are free
Kama unaona 5M ni kubwa basi hujui umuhimu wa Elimu bora

Education is significantly more valuable than value for money and has no comparable worth.
 
Wakuu matokeo ya mtihani wa darasa la vii kwa mwaka 2024 yametoka.
View attachment 3138047
Matokeo ya Darasa la saba yatangazwa leo Oktoba 29, 2024 yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani Necta Dkt. Said Ally, ambapo watahiniwa 974,229 kati ya wanafunzi 1,230,774 waliosajiliwa kufanya mtihani wamefaulu kwa kupata madaraja A, B na C.

Aidha, imeeleza kuwa kwa mwaka huu wa masomo 2024, ufaulu wa jumla umepanda kwa asilimia 0.29 na kufikia asilimia 80.87 kutoka asilimia 80.58 mwaka 2023.

BONYEZA HAPA KUSOMA MATOKEO
Toka wameacha kushindanisha Mikoa,shule na wanafunzi Huwa sifuatilii tena mambo ya NECTA maana Haina Radha tena
 
Ndio maana nasema hakuna umuhimu wowote wa kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za English Mediums.
HAYA sasa twende kazi. Toa watoto wako kwenye shule za EM wapeleke Kayumba haraka sana.
hao wa kayumba hawajui kiingereza, ndio baadae wanakuja kuiaibisha nchi
 
Elimu ya Tanzania ni ya kikanjanja sana ukilinganisha za Nchi nyingine kama Kenya au Uganda.Huwa tunadanganyika na hivi vimatokeo uchwara lakini ukweli elimu ya TZ ni takataka tu.
 
Nina kipato kinachovuka 2M kwa mwezi lakini kijana wangu yupo shule za serikali.

Huu ujinga wa kusomesha English medium sijaona faida yake maana unakuta mtu anajikakamua hadi kuingia madeni kusomesha English medium matokeo yake wanakuja kugombania ajira ya laki saba na aliyesoma bure.

Sio kweli kwamba kila ambaye anasomesha mtoto shule za serikali shida ni kipato bali ni namna mzazi anavyolitazama jambo husika kwa angle yake.
Ni kweli kabisa mkubwa alisoma hizi private akaleta matokeo sio mdogo nikampeleka kayumba naona kaja A zote
 
Yes. Ni uelewa wa mtoto tu mkuu hakuna uhusiano wa moja kwa moja kwamba anayesoma private eti atakuwa bora zaidi kuliko wa government.

Kuna watu walisoma Kayumba lakini wapo moto balaa wanawafundisha tuition hawa wa private sasa hapo ndipo utagundua mtoto akiwa na uelewa mpana haijalishi unampeleka shule gani ata perform vizuri tu.
 
Nina kipato kinachovuka 2M kwa mwezi lakini kijana wangu yupo shule za serikali.

Huu ujinga wa kusomesha English medium sijaona faida yake maana unakuta mtu anajikakamua hadi kuingia madeni kusomesha English medium matokeo yake wanakuja kugombania ajira ya laki saba na aliyesoma bure.

Sio kweli kwamba kila ambaye anasomesha mtoto shule za serikali shida ni kipato bali ni namna mzazi anavyolitazama jambo husika kwa angle yake.
Elimu Bora sio idadi ya A's au PHD bali ni kiwango cha juu cha uelewa juu ya jambo Fulani,
Niliwahi huzuria interview Fulani ilikuwa sehemu kubwa ni kujieleza Kwa bahati nzuri kuondoa makandokando ilikuwa mmoja akihojowa na wengine mnasikiliza
watu walikuwa wanatema madini hadi kimoyomoyo unajisemea sijui nichomoke TU[emoji13]
Nikajisema kunahaja ya kuiangalia hii elimu ya kufaulu Kwa kuangalia A's
 
Yes. Ni uelewa wa mtoto tu mkuu hakuna uhusiano wa moja kwa moja kwamba anayesoma private eti atakuwa bora zaidi kuliko wa government.

Kuna watu walisoma Kayumba lakini wapo moto balaa wanawafundisha tuition hawa wa private sasa hapo ndipo utagundua mtoto akiwa na uelewa mpana haijalishi unampeleka shule gani ata perform vizuri tu.
Huku kayumba sisi wazazi tunakimbia majukumu ya kuwasimamia watoto. lakini huku kayumba ukiamua kuchukua majukumu ya mzazi nyumbani shule za kayumba mtoto anatoboa vizuri sana
 
Hizo za 3M bado zipo chini...

At least 5M per year, Hapo uhakika wa Elimu bora upo.

Kuhusu kufikiri, maybe Kweli sipendi kufikiri kwamba vya bure vinaa thamani.
Hakuna cha elimu bora wala nini ni watu mmezoea kupunwa tu vijisenti vyenu mnavyodunduliza kwa jasho la damu.

Tena huko private wanafundishwa kukariri tu namna ya kujibu mitihani wala hawana maajabu kwamba wanafundishwa kitu cha tofauti.

Yaani mtoto ni anakaririshwa tu ili mradi afanye mtihani apate darasa A lakini kiuhalisia haimsaidii kumjengea uwezo wa kufikiri tofauti na kujibu mtihani.

Ndiyo mchezo wa shule za binafsi wale ni wafanyabiashara hawaangalii ubora wa elimu bali kufaulisha tu hata kwa kununua 'possible' ili mradi afaulishe ajitangaze apate wanafunzi wengi.
 
Yes. Ni uelewa wa mtoto tu mkuu hakuna uhusiano wa moja kwa moja kwamba anayesoma private eti atakuwa bora zaidi kuliko wa government.

Kuna watu walisoma Kayumba lakini wapo moto balaa wanawafundisha tuition hawa wa private sasa hapo ndipo utagundua mtoto akiwa na uelewa mpana haijalishi unampeleka shule gani ata perform vizuri tu.
Ishue sio kupata A, je kiwango cha uelewa wa huyo mwenye A upoje,
Pia hapo unafaninisha watu wawili tofauti
Mtoto aliefanya mtihani Kwa lugha ya kigeni dhidi ya aliefanya Kwa lugha yake ya kiswahili
Sasa ukitaka uone utofauti wa uelewa nenda kaombe paper ya lasaba ya lugha ya kiingereza mpe huyo aliepata A Kwa lugha ya kiswahili pindi akiwa form two nakuhakikishia 20/50 hapati.
 
Back
Top Bottom