LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Sio kweliHuu ni mtizamo potofu, wengi hawapendi watoto wao wasome Kayumba, tatzo ni kipato.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweliHuu ni mtizamo potofu, wengi hawapendi watoto wao wasome Kayumba, tatzo ni kipato.
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻Huna Akili
Huo ndyo ukweli....Sio kweli
Hii dhana ipo wakati huu sana, wengi wetu tumesoma Kayumba na hakukuwa na ugumu huu unazoungumzwa sana sasa.EM wakifika form one wanakuwa na basics nyingi sana ,haumizi kichwa ila kayumba akifika form one ni mtihani kweli kweli.
Vizuri ataenda shule za vipaji maalum.Hongera Binti yangu kwa kupata A zote
Hivi ni lini kweliNdio maana nasema hakuna umuhimu wowote wa kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za English Mediums.
HAYA sasa twende kazi. Toa watoto wako kwenye shule za EM wapeleke Kayumba haraka sana.
Thank me later.
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hivi ni lini kweli shule ya msingi kuishia la 6?Ndio maana nasema hakuna umuhimu wowote wa kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za English Mediums.
HAYA sasa twende kazi. Toa watoto wako kwenye shule za EM wapeleke Kayumba haraka sana.
Thank me later.
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Acha uongo wewe nimesoma Sekondari na Mtoto wa Shein kipindi kile ni VP wa MkapaHuo ndyo ukweli....
Watu wanapenda Elimu nzuri, Afya nzuri, huduma nzuri... Tatzo kipato
Hayo ni maamuzi binafsi ya huyo VP kumpeleka mwanae Kayumba...Acha uongo wewe nimesoma Sekondari na Mtoto wa Shein kipindi kile ni VP wa Mkapa
Unamfokea nani we mzee wa hovyo?Ndio maana nasema hakuna umuhimu wowote wa kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za English Mediums.
HAYA sasa twende kazi. Toa watoto wako kwenye shule za EM wapeleke Kayumba haraka sana.
Thank me later.
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Kwahiyo?😀😀😀Acha uongo wewe nimesoma Sekondari na Mtoto wa Shein kipindi kile ni VP wa Mkapa
Nina kipato kinachovuka 2M kwa mwezi lakini kijana wangu yupo shule za serikali.Huo ndyo ukweli....
Watu wanapenda Elimu nzuri, Afya nzuri, huduma nzuri... Tatzo kipato
Anajifariji huyo mzee. Tunaye mmoja mahali fulani kazi yake ni ulevi tu na hii ndio misemo na maneno yake.Huu ni mtizamo potofu, wengi hawapendi watoto wao wasome Kayumba, tatzo ni kipato.
Kwanza, Tatzo linaanza ukiamini kwamba watoto wanasoma ili wapate ajira....Huu ujinga wa kusomesha English medium sijaona faida yake maana unakuta mtu anajikakamua hadi kuingia madeni kusomesha English medium matokeo yake wanakuja kugombania ajira ya laki saba na aliyesoma bure.
Hata ingetokea nina kipato cha 5M siwezi kumpeleka kwenye utapeli unaoitwa English medium.Huo ndyo ukweli....
Watu wanapenda Elimu nzuri, Afya nzuri, huduma nzuri... Tatzo kipato
Anajifariji tu, Elimu nzuri lazima iwe na gharama.Anajifariji huyo mzee. Tunaye mmoja mahali fulani kazi yake ni ulevi tu na hii ndio misemo na maneno yake.
Nina wasiwasi ni huyu. Anaona fahari kumpeleka mwanaye kwenye shule ina wanafunzi 1200 huku darasa analosoma dogo lina wanafunzi 100+. Yeye anapiga ulabu tu.
Mkuu inategemea na shule. Shule yenye watoto 80 hadi 100+ na wastani wa watoto 20-30 kwa darasa moja hata mi nampeleka mwanangu ila shule yenye watoto 1200+ huko na darasa lina watoto 100+ bora nikope na niishi kwa madeni mtoto asome kwani hapo hataambulia kitu.Nina kipato kinachovuka 2M kwa mwezi lakini kijana wangu yupo shule za serikali.
Huu ujinga wa kusomesha English medium sijaona faida yake maana unakuta mtu anajikakamua hadi kuingia madeni kusomesha English medium matokeo yake wanakuja kugombania ajira ya laki saba na aliyesoma bure.
Sio kweli kwamba kila ambaye anasomesha mtoto shule za serikali shida ni kipato bali ni namna mzazi anavyolitazama jambo husika kwa angle yake.
Kipato ndyo tatizo, wengi wanajifariji kwa kuziponda English medium lakini ukweli ni kwamba Elimu bora ni gharama.Hata ingetokea nina kipato cha 5M siwezi kumpeleka kwenye utapeli unaoitwa English medium.
English medium nyingi ambazo ni za kawaida ada zao hicheza laki 7 hadi milioni mbili kwa mwaka kitu ambacho hata mzazi mwenye kipato cha laki 4 kwa mwezi anamudu kumsomesha kwasababu shule zote sasahivi wanapokea ada kwa awamu hadi 4.
Kwahiyo suala la kipato napingana na wewe sema ni passion tu ya mzazi anavyolichukulia jambo husika.