Hii ndiyo sentensi inayonyoosha mawaa yote.Yafurahie katika namna yakutokuletea madhara
Yesu haponyi wajinga waliokosa maarifaNi sawa na mtu anayemtegemea mungu kwa kila kitu!
Nina jirani yangu hapa anaumwa, kila baada ya lisaa anaomba mungu (maombi yale ya kilokole) muda wote anasema amelogwa wala siyo ugonjwa wa kawaida.
Namwambia aende kituo cha afya, majibu yake anasema damu ya yesu itamponya.
Maisha hayawezi kuwa marefu ikiwa umeamua kuyafupishaNi kweli ila maisha yenyewe mafupi sana...
#dumesuruali...
Sent from my TECNO BC2 using JamiiForums mobile app
Uza nyumba nikupeleke baa yenye wachuchuu wazuuuriii!πππππUtasikia "Kula bia wewe"
Uko sahihi kwa 100%, nakumbuka kuna kipindi niliizoea hiyo kauli nikawa naandamwa na ajali za mara kwa mara na hadi sasa hivi nimeshapona zaidi ya ajali kumi na."Maisha yenyewe mafupi" Sio ajabu kujibiwa hivyo kila Ukileta thread za kuonyesha madhara ya vitu mbalimbali vinavyoharibu na kudhoofisha miili yetu. Tumekuwa watu wakujifariji sana Lakini pale yakikutokea yakukutokea ndo utakapoona umuhimu wa maisha na afya kwa ujumla. Kwa kifupi matokeo ya hiyo kauli huwa ni mabaya sana. Ndo pale utakapoanza kuja na thread za kuomba msaada na njia za kujinasua.
Tubadilike afya ni utajiri mkubwa sana acha nature ifanye kazi yake.
hahahaha kmmmmk, natoa 10k kwenye rambirambi yakemajibu yake anasema damu ya yesu itamponya.
Yafurahie katika namna yakutokuletea madhara