Jamhuri imeshindwa kuthibitisha Uhaini wa Lissu, lkn Mahakama itakuja na maamuzi kuwa Lissu ana kesi ya kujibu. Kwa vile wanajua watashindwa kesi na mmoja wa mashahidi wa utetezi ni Samia Suluhu, kuliko kumdhalilisha Samia watasema DPP hana nia ya kuendelea na kesi.
Tume ya Chande haina kazi ya maana inayofanya zaidi ya kuchelewesha muda ili watu wasahau huku ikiangalia upepo unavyovuma kuhusu kesi ya ICC. Tume itakuja kusema wahusika wakuu ni Chadema na wafuasi wake ndio waliofanya vurugu. Baada ya hapo Samia atatumia mgongo wa Maridhiano kuwataka Watanzania tusameheane ili tuanze upya.
Hakuna atakayewajibishwa kwa yote yaliyotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi wa 29/10.
Yetu Macho na Masikio.