Sasa kama hawakupata funzo lolote kutokana na ulaghai wao wa huko nyuma, watake tena kutumia njia zilezile za ulaghai katika jambo ambalo tayari limekwishavuka mipaka kabisa ya uwezo wao; hawa wanategemea jambo gani tena litokee ndipo wajue kuwa muda wao ulikwisha toka siku nyingi sana.Hii kitu haifunikiki, haiwezi kufanyiwa manipulations zozote...
Ni lazima watu wawajibike kwa makosa yao...
Hata kabla ya uchaguzi tulikuwa tunawaambia hivi hivi kuwa hakutakutakuwa na uchaguzi mwaka huo 2025 lakini watu walikuwa wabishi kweli...
Lakini ukweli ukaja kujitokeza wenyewe....
Na ili ku - justify uharamu wao ili kujiona kuwa fikra zao zilikuwa sahihi, kudhani kuwa uchaguzi ungekuwepo tu na NO REFORMS NO ELECTION ilikuwa si lolote na sio chochote, wakafanya uharamia walioufanya kwa kuua maelfu ya watu waliomkataa huyu mama lakini kwa ubabe tu akajitangaza Rais wa Tanganyika bila kupigiwa kura. Leo anaishi kama digidigi anayekimbia mishale ya wawindaji...
Narudia tena kusema: UNYAMA NA UOVU WALIOFANYA HAUFUNIKIKI na KARMA iko kazini kulipa kisasi...!!!
Safari hii siyo maisha ya waTanzania yatakayotolewa sadaka; ni maisha yao wenyewe yatakuwa mikononi mwa waTanzania.
