PostGE2025 Matokeo ya Kesi ya Lissu na Tume ya Chande YANAJULIKANA, anayetegemea tofauti labda haijui Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Jamhuri imeshindwa kuthibitisha Uhaini wa Lissu, lkn Mahakama itakuja na maamuzi kuwa Lissu ana kesi ya kujibu. Kwa vile wanajua watashindwa kesi na mmoja wa mashahidi wa utetezi ni Samia Suluhu, kuliko kumdhalilisha Samia watasema DPP hana nia ya kuendelea na kesi.

Tume ya Chande haina kazi ya maana inayofanya zaidi ya kuchelewesha muda ili watu wasahau huku ikiangalia upepo unavyovuma kuhusu kesi ya ICC. Tume itakuja kusema wahusika wakuu ni Chadema na wafuasi wake ndio waliofanya vurugu. Baada ya hapo Samia atatumia mgongo wa Maridhiano kuwataka Watanzania tusameheane ili tuanze upya.

Hakuna atakayewajibishwa kwa yote yaliyotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi wa 29/10.

Yetu Macho na Masikio.
 
Good analysis! Lakini je waliopigwa risasi majumbani walikuwa wafuasi wa chadema. Mbona almost all viongozi wa Chadema wako hai!
 
acha upotoshaji na porojo nonsense kama hizo ndugu mammluki lofa wa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.


huna haja ya kutafuta tension na public sympathy kindezi hivyo
 
Huna lolote unachoweza ni kutetea wauaji.
kusafisha na kutokomeza magaidi na mamaluki malofa kama wewe ni jambo muhimu sana kwa masalahi mapana ya taifa,

haiwezekani kufuga mamluki wazalisha porojo na upuuzi kama wewe gentleman, hakuna haja ya kuvumila nonsense kama hizi hata kidogo
 
Good analysis! Lakini je waliopigwa risasi majumbani walikuwa wafuasi wa chadema. Mbona almost all viongozi wa Chadema wako hai!
Panic mode,hawakuwa na uweledi walitumia nguvu nguvu,walikuwa na wenge tu

Ova
 
Good analysis! Lakini je waliopigwa risasi majumbani walikuwa wafuasi wa chadema. Mbona almost all viongozi wa Chadema wako hai!
kwahiyo unaelewa waliowaua pia mbona hakuna hata mtoto wa mwanaccm alijeruhiwa Wala kufa ccm woooteee wako salama.
 
Upo kazini mwenyewe.
 
acha upotoshaji na porojo nonsense kama hizo ndugu mammluki lofa wa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.


huna haja ya kutafuta tension na public sympathy kindezi hivyo
πŸ–•πŸΏπŸ–•πŸΏπŸ–•πŸΏπŸ–•πŸΏπŸ–•πŸΏπŸ–•πŸΏπŸ–•πŸΏπŸ–•πŸΏπŸ–•πŸΏπŸ–•πŸΏπŸ–•πŸΏ
 
Hii kitu haifunikiki, haiwezi kufanyiwa manipulations zozote...

Ni lazima watu wawajibike kwa makosa yao...

Hata kabla ya uchaguzi tulikuwa tunawaambia hivi hivi kuwa hakutakutakuwa na uchaguzi mwaka huo 2025 lakini watu walikuwa wabishi kweli...

Lakini ukweli ukaja kujitokeza wenyewe....

Na ili ku - justify uharamu wao ili kujiona kuwa fikra zao zilikuwa sahihi, kudhani kuwa uchaguzi ungekuwepo tu na NO REFORMS NO ELECTION ilikuwa si lolote na sio chochote, wakafanya uharamia walioufanya kwa kuua maelfu ya watu waliomkataa huyu mama lakini kwa ubabe tu akajitangaza Rais wa Tanganyika bila kupigiwa kura. Leo anaishi kama digidigi anayekimbia mishale ya wawindaji...

Narudia tena kusema: UNYAMA NA UOVU WALIOFANYA HAUFUNIKIKI na KARMA iko kazini kulipa kisasi...!!!
 
tuliza ball mrangi,
everything is under control
Namjuwa huyo chande kuliko unavyojuwa wewe
Wewe huwezi kuniambia tuliza ball,bado mtu mdg na mwepesi sana kwangu
Kwenye kujuwa mambo
Hao mabosi zako unaishia kuwapugia vigelele +uchawa huwa nakaaga nao meza moja
Hiki kichwa achana nacho kabisa wala usipoteze muda kushindana nayo

Ova
 
HAIJALISHI.

Gurudumu la kuikomboa Tanzania tayari limekwishaanza kuzunguka.

Hakuna namna nyingine yoyote itakayowasalimisha waovu hawa. Sana sana ni kujiongezea maumivu tu kwa kuchelewa kwao kupata haki inayowastahili.

Tanzania Mpya haina nafsi ya watu waovu kama Samia na Genge lake. Asahau kabisa kuwa katika nafasi yoyote zaidi ya kutumikia matokeo ya uovu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…