Sasa kama hawakupata funzo lolote kutokana na ulaghai wao wa huko nyuma, watake tena kutumia njia zilezile za ulaghai katika jambo ambalo tayari limekwishavuka mipaka kabisa ya uwezo wao; hawa wanategemea jambo gani tena litokee ndipo wajue kuwa muda wao ulikwisha toka siku nyingi sana.Hii kitu haifunikiki, haiwezi kufanyiwa manipulations zozote...
Ni lazima watu wawajibike kwa makosa yao...
Hata kabla ya uchaguzi tulikuwa tunawaambia hivi hivi kuwa hakutakutakuwa na uchaguzi mwaka huo 2025 lakini watu walikuwa wabishi kweli...
Lakini ukweli ukaja kujitokeza wenyewe....
Na ili ku - justify uharamu wao ili kujiona kuwa fikra zao zilikuwa sahihi, kudhani kuwa uchaguzi ungekuwepo tu na NO REFORMS NO ELECTION ilikuwa si lolote na sio chochote, wakafanya uharamia walioufanya kwa kuua maelfu ya watu waliomkataa huyu mama lakini kwa ubabe tu akajitangaza Rais wa Tanganyika bila kupigiwa kura. Leo anaishi kama digidigi anayekimbia mishale ya wawindaji...
Narudia tena kusema: UNYAMA NA UOVU WALIOFANYA HAUFUNIKIKI na KARMA iko kazini kulipa kisasi...!!!
uko sahihi sana kwenye hilo,Namjuwa huyo chande kuliko unavyojuwa wewe
Wewe huwezi kuniambia tuliza ball,bado mtu mdg na mwepesi sana kwangu
Kwenye kujuwa mambo
Hao mabosi zako unaishia kuwapugia vigelele +uchawa huwa nakaaga nao meza moja
Hiki kichwa achana nacho kabisa wala usipoteze muda kushindana nayo
Ova
Ni member mwenzangu wa dar British legion clubuko sahihi sana kwenye hilo,
ni kweli mimi simjui huyo muungwana Jaji chande kuliko mnavyojuana ninyi, ila mimi namfahamu tu huyo mzee muadilifu na mchapakazi mahiri kwa kiasi tu, tena ni katika kazi akiwa jaji pale ICC.
In fact,
alisaidia sana kuchochea mageuzi ya kimfumo katika utoaji haki nchini. Jaji chande ni miongoni mwa wanasheria credible mno kitaifa na kimataifa. Jaji chande ni Tunu ya dunia nzima.
Hizo porojo nyingine hazina msingi gentleman
daima napendelea kujifunza zaidi mambo mapya kutoka kwa wadau wa JF bila kuchoka,Ni member mwenzangu wa dar British legion club
Hayo mengine we nyamaza tu .....nayajuwa
Wewe una mengi kujifunza kwangu ohooooo
Na siku zote cmnt zangu
Uwe unazifanyia kazi!
All in all jaji is my dude
Ova
Endelea kujifunza gentlemandaima napendelea kujifunza zaidi mambo mapya kutoka kwa wadau wa JF bila kuchoka,
na ni vigumu mno kwangu kuipuza fursa hiyo muhimu ya kuongeza uelewa na ufaha juu ya mamabo mbalimbali ya kisiasa na kijamii
Wewe si ndio waga unaosha magari pale Lumumba sasa wewe kuna unachokijua kweli wewe day worker.kusafisha na kutokomeza magaidi na mamaluki malofa kama wewe ni jambo muhimu sana kwa masalahi mapana ya taifa,
haiwezekani kufuga mamluki wazalisha porojo na upuuzi kama wewe gentleman, hakuna haja ya kuvumila nonsense kama hizi hata kidogo
tuliza nonsense ndugu mamluki empty headWewe si ndio waga unaosha magari pale Lumumba sasa wewe kuna unachokijua kweli wewe day worker.
Sio bahati mbaya kuongezewa zike siku na huku wakakata rufaa ya hukumu ila wajiandae kwakua wanaenda kuweka petrol kwenye moto vidonda vya tuliowapoteza bado vibichiJamhuri imeshindwa kuthibitisha Uhaini wa Lissu, lkn Mahakama itakuja na maamuzi kuwa Lissu ana kesi ya kujibu. Kwa vile wanajua watashindwa kesi na mmoja wa mashahidi wa utetezi ni Samia Suluhu, kuliko kumdhalilisha Samia watasema DPP hana nia ya kuendelea na kesi.
Tume ya Chande haina kazi ya maana inayofanya zaidi ya kuchelewesha muda ili watu wasahau huku ikiangalia upepo unavyovuma kuhusu kesi ya ICC. Tume itakuja kusema wahusika wakuu ni Chadema na wafuasi wake ndio waliofanya vurugu. Baada ya hapo Samia atatumia mgongo wa Maridhiano kuwataka Watanzania tusameheane ili tuanze upya.
Hakuna atakayewajibishwa kwa yote yaliyotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi wa 29/10.
Yetu Macho na Masikio.
Jirani yangu alipigiwa risasi tarehe 30 akiwa dukani kule salasala.Jamhuri imeshindwa kuthibitisha Uhaini wa Lissu, lkn Mahakama itakuja na maamuzi kuwa Lissu ana kesi ya kujibu. Kwa vile wanajua watashindwa kesi na mmoja wa mashahidi wa utetezi ni Samia Suluhu, kuliko kumdhalilisha Samia watasema DPP hana nia ya kuendelea na kesi.
Tume ya Chande haina kazi ya maana inayofanya zaidi ya kuchelewesha muda ili watu wasahau huku ikiangalia upepo unavyovuma kuhusu kesi ya ICC. Tume itakuja kusema wahusika wakuu ni Chadema na wafuasi wake ndio waliofanya vurugu. Baada ya hapo Samia atatumia mgongo wa Maridhiano kuwataka Watanzania tusameheane ili tuanze upya.
Hakuna atakayewajibishwa kwa yote yaliyotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi wa 29/10.
Yetu Macho na Masikio.
Kama unafikiri waliouwawa ni vibaka kule Roma mlienda kufanya nn? Hiyo tume ya chande imeunde imeundwa Ili kuchunguza mauji ya vibaka ( unazo akili kweli wewe)Piga vibaka,walidhani nchi haina uongozi