Matokeo ya kidato cha nne 2012: Turudie kutazama ugumu wa Elimu. Re-visiting the old grave

Cecil J

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2023
Posts
434
Reaction score
1,024
Habari wanajukwaa!

Nimeyaangalia matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012, aisee! Kwa wote waliofaulu mwaka huo nawapa heshima yenu.

Nimeyaangalia matokeo ya mara ya kwanza (Original) na ya mara ya pili (Re-Scored), hivi shida ilikuwa ni nini iliyopelekea matokeo kurudiwa?

Hii screenshoot ya shule moja ya Arusha Secondary.
 
Watoto walikua hawasomi Wana syllabus nyingi.

Mitihani ya mwisho konki ulikua 2009 backwards..

Mimi nimesoma mwenyewe kwa kutumia syllabus ukiweza ku cover syllabus yote ikawa KICHWANI huwezi ku fail kidato Cha nne.

O-level hakunaga mitiani migumu period!

SEMA wanafunzi hawasomi na wanamambo mengi mitiani maswali yote yapo ndani ya SYLLABUS.

ACHA KUTETEA UZEMBE NA UJINGA KWA HAO WANAFUNZI UCHWARA.
 
Kupata Division One kwa kipindi hiki ni kama kumpiga gwala mlevi anayeyumba kwa kubugia vidusu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…