MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

Jamani majina huumba,mwite mwanao Osama uone mziki wake
 
Kwa kuanzisha hii topic,,itafanya wizara husika ziwe zinapendelea shule zenye majina ya viongozi.

No wonder mitahani ijayo ikaonyesha shule zenye majina ya wake au waume ambao ni viongozi,,yakaongoza top 20.
 

na ndo maana nchi yaenda mrama kwa sababu uongozi ulichukuliwa kwa hila na si kwa ridhaa ya wananchi. Na ndo maana saa jamii yote inapambana kuondoa genge hili madarakani.
 
Habari yako bwana MADELE WA MADULU nikupongeze umeanza vizuri kwa kueleza kuhusu suala la elemu kushuka kwamba ni jukumu letu wote lakini kilichonishangaza ni huko mbele uliposema kwamba ni ccm ndiyo imetufikisha hapo naona jambo hilo siyo sahihi ni kweli ni ilani ya chama chamapinduzi lakini watekelazaji wa sela hizo ni pomoja na wewe kwa maana ya kwamba hata chadema na hao ndiyo watendaji wakubwa maana chadema ni chama chama cha wachaga na wakrisito na ndiyo maana wadai walishinda.
 
Ooooh kidogo unipe heart attack..., nilidhani wameongeza zaidi kwenye zile 12m wanazozipata....., Ila bado uzi wangu upo palepale hizo pesa inabidi zipunguzwe nangojea sakata la Dowans lipungue ili nije nimpelekee mbunge wangu pendekezo nawashauri wote tufanye hivyo kuna petition nilianzisha mwaka jana kuwabana hawa waheshimiwa hizo pesa zipunguzwe
https://www.jamiiforums.com/uchaguz...decrease-wabunges-salaries-a-must-read-4.html
 
Ni hapo ninapomkumbuka Nyerere! Katika katiba ambayo hakuwashirikisha wananchi, aliweka kifungu, kwamba ELIMU NI HAKI YA KILA RAIA, na ni jukumu la serikali kuhakikisha kila mtu anayo haki hii. Ndipo ikawa elimu ni bure kabisa! Tena enzi hizo za Nyerere shule zilizokuwa zinang'ara ni za Serikali (public schools), na hizi unaziita mtkatifu, zilikuwa hazifui dafu kabisa. Kulikuwepo na tofauti kidogo sana kati ya shule. Mishahara shule za serikali na binafsi haikutofautiana. Shule za seminari zilizokuwepo wakati ule ni za wakatoliki (madhehebu mengine yalijaigiza baada ya kugundua seminari zinapasisha sana, sasa hivi ni vigumu kujua seminari zinalenga nini!- hii ni nje ya mada lakini ). Seminari hazikuwa na walimu waliobobea enzi zile kama shule za serikali, mara nyingi ni mapadri tu na wakati mwingi seminari walitegemea sana wanafunzi wa kidato cha sita kufundisha wawapo likizo. Lakini seminari ziliweza kushindana na shule za serikali kwa sababu mmoja tu, NIDHAMU. Mapadri waliwasimamia wanafunzi kujisomea usiku.

Ipo haja kuhakikisha tuna shule za viwango yaani TBS(ya kishule) iweke viwango. Bila hivyo hakuna kusajili shule. Na hata ada za shule ziwe sawasawa. Ili kutekeleza hili ni LAZIMA ELIMU IWE BURE! Na inawezekana.
 

Ni wazo zuri! Lakini hata hilo litazua 'speculations' tu kwa vile baadhi ya Watanzania hawataki kujadili kitu wanachokifahamu bali kitu wanachofikiria wanaweza kusema kitu. Matokeo yake ndiyo kupata wachawi wa kila aina na uchawi una'reflect' kiwango cha elimu na uelewa wa watu wa kiwango chao.
 
@kakajambazi,noooh noooh napinga hawataweza zibeba hzo shule za viongozi,ktk hz shule za kata yani wanafunzi wanakera hao ,yani jitu liko form iv au iii halijui kudefine jamani,ni mfumo mbovu wa elimu,walimu wasiowajari wanafunzi kuwa mbinu za kufanya mtihani,kujiamini na kuwaweka watoto ktk mentality ya kwamba yes i can let me pull up my socks and dance the rythm of academinician ,
 
Naungana na wewe kwa asilimia 100,unajua kuna baadhi ya watu wanataka kuipeleka jamii kusiko faa hata kidogo!si vizuri kutafuta chuki cha msingi ni kutafuta ufumbuzi na kuangalia nini kifanyike ktk kulikomboa taifa letu!
 
Wakati mwingine pia ni busara kupost!

....... Waislaam wametengwa ..... hawana maana ! ...... wajinga ! ....... hata mmoja akipasi ni bahati mbaya ! ....... muombeni Mwenyezi Mungu awape na kazi ya kugawa rizki ! nyie mle keki sie mikate ya chachu ! sie tusome za kata nyie za ST ACADEMY ! hivyo tu. :coffee:
 
Hivi ni shule zipi za kiislamu zinazofundisha kujitolea mhanga?.........msaada tafadhari

................ bado hazijaanza, tunasubiri mjilimbikizie mali nyingi kwa fursa za kifisadi na choyo mnazoziendekeza, kisha hapo ndio tutapata sababu ya kurecruite watu wa kujitoa mhanga ! mabomu mtindi mmoja ! .......!! hatuna cha kupoteza wakati huo, hapaliki keki wala hapenyweki chai !
 
s1921 luqman islamic seminary


div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 1 div-iv = 38 fld = 3

..... mbona FEZA BOYS au GIRLS hamuiweki ? pale mgalatia anapokewa kisiasa tu ! tundika uone vichwa vya Madrassa !:coffee:
 

........... hebu linganisha shule za kata na za Roman ! tofauti ni nini ? wao walimu wanapata wapi? tatizo ni walimu au shule au wanafunzi ?
 

Nashukuru kwa kuniita mbeya na kwamba nina mawazo mepesi.Kifupi nadhani hujanielewa ulichokifanya ni kuni-attack.Tujifunze kutofautiana bila kushambuliana,tujadili masuala kwa uwazi zaidi.Hakuna anayebisha kuwa sera za CCM ndizo zilizotufikisha hapa.Na suluhisho ni kubadilisha mfumo mzima wa elimu kitaifa kuliko kila waziri au kiongozi kupendelea kwao,mfano shule ya msingi kule nyumbani kwa Kikwete ilikarabatiwa na wachina.Tunahitaji mkakati wa kitaifa rather than wa majimbo.Nashukuru kwa mchango wako,kwani ni muhimu watu kama wewe kuwepo.
 

Kufail kidato cha nne kuna impact ya kwenda A level na hii inakuwa reflected hata idadi ya wanafunzi Islaam kuingia kwenye vyuo vikuu. Matokeo yake kuna kuwa na waislam wachache tena wenye shahada za pass ambao hawawezi kujenga hoja wanakimbilia ooooh hatupewi nafasi! Utampaje nafasi mtu mwenye Pass uache mwenye first class ama upper second. Hebu amkeni nyie mitaala yenu mpunguze Juzuu watoto wa Islaam kwenye shule wafaulu
 
shule ningi za st. zina waalimu wazuri, na malezi mazuri. huwezi ku compare na za kiislam hata kwa malezi ya watoto. kufauli ni malezi kwanza, then resources both physical and human.
 
Nilikuwa natazama interview TBC leo machana.
Idadi ya wanafunzi waliofanya mtihani ni 350,0000 na waliofaulu na kupata sifa za kujiunga na form five ni 40,000 tu. Hivyo kwa mahesabu yangu ni kama 10% hivi ndo wamefaulu na siyo 50% kama media zinavyo eleza.

Where is Shukuru kawambwa now days?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…