Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwetu waislamu madarasa mwiko.....sisi kwetu madrasa tu na tunataka madrasa iwemo kwenye katiba ya tz km elimu ya muhimu.....tunataka serikali ya kikwete iweke kwenye katiba mpya mahakama ya kadhi na oic km kikwete na chama chake cha mafisadi walivyotuwekea kwenye ilani yao mahakama ya kadhi........pamoja na sisi kufeli sana bado sisi waislamu ndiyo wajanja na ndiyo tunaongoza nchi mtake msitake.......
wala usijali mkuu, kwani nguvu ya umma iko mbioni kuwapitia, hata walivoviiba watajuta kuwa navyoHii inanikumbusha usemi usemao mwenye nacho ataongezewa
Habari yako bwana MADELE WA MADULU nikupongeze umeanza vizuri kwa kueleza kuhusu suala la elemu kushuka kwamba ni jukumu letu wote lakini kilichonishangaza ni huko mbele uliposema kwamba ni ccm ndiyo imetufikisha hapo naona jambo hilo siyo sahihi ni kweli ni ilani ya chama chamapinduzi lakini watekelazaji wa sela hizo ni pomoja na wewe kwa maana ya kwamba hata chadema na hao ndiyo watendaji wakubwa maana chadema ni chama chama cha wachaga na wakrisito na ndiyo maana wadai walishinda.Sioni sababu ya kukata tamaa nahizi shule zetu za kata Tanzania au shule nyingine zozote hata hizo uziitazo Islamic School.
Wahindi walipoanzisha Univerisities zao miaka ya 1950 na 1960 Dunia nzima walikuwa wakicheka na kubeza.
Leo nchi nyingi duniani zinapeleka wanafunzi wake iIndia kusoma katka vyuo vile vile vilivyo dharauriwa miaka iliyopita.
Pia wahindi wanaexport Maengineer na Madaktari Dunia ya kwanza, waliocheka wanashindwa kuendelea kucheka kwa sababu wakicheka wanajicheka wao wenyewe.
Jambo kubwa na la Muhimu ni kuorodhesha matatizo sugu ya shule zetu za kata kuyaweka wazi na kuyavalia njuga kitaifa na kimataifa ili kutafuta suruhisho. Kukebehi, kukashifu kubeza shule ambazo tayari zimekwisha anza na kuthubutu kutoa walau few division IV ni kujididmiza kijamii na kifikra. Kudhani shule ikiwa ni ya Waislamu basi nia na madhumuni yake ni kufelisha wanafunzi wake huo ni uchuro nisio weza kuufumbia macho. Mtu au watu wenye maono kuliko maono yako yote utakayo ona katoka maisha yako ndiyo waliyoanzisha shule hizo unazo zikebei. Lengo la kuanzisha shule hizo lilikuwa ni kuwakomboa Watanzania na litaendelea kuwa hivyo hivyo hadi mwisho wa wakati
Kibohehe Sec School shule ya Bakwata iimesomwa na wanafunzi wengi Wakristo kwa Waislamu na wengi wamefika level ya University bila kelele wala mikwaruzo. Suala la Islamic School kuwa ni recipe of failure ni suala lisilo jenga na binafsi silikubali.
Shule zote Tanzania zina Matatizo yanayofanana. Kukosa walimu wenye sifa moyo na Ali. Kikubwa zaidi ni kukosa walimu wenye sifa.
Tunatakiwa kujiuliza kama wananchi wazalendo tutasaidiaje Elimu Tanzania bila kujali nani anasoma pale??
Tanzania haitajengwa na Wakristo au Waislamu pekee yao. Tanzania itajengwa na Watanzania si kwa uzalendo tu bali kwa kutambua kwamba Tanzania ndiyo nyumbani kwao, na ukweli kwamba kama WaTanzania hakuna mahali pengine popote duniani kama Tanzania.
Kushuka kwa elimu Tanzania ni Tatizo la kitaifa halina itikadi japo limesababishwa na utendaji duni wa serikaliya CCM.
Limesababishwa na Viongozi wa CCM kutamani sna ughaibuni kuliko Tanzania aliye mama yao wa kunyonya ziwa.
Kushuka kwa elimu Tanzania kumesababishwa na Uduni wa fikra za viongozi wa CCM kudhani kwamba kuiba Fedha iliyo fungu la Elimu na kuiweka mifukoni mwao bila aibu kutawapandisha chati wao wake zao na vimada uchi wao.
CCM wanajali Shopping Ulaya kuliko Elimu ya vijana wao, wanajali kujivinjari nchi za dunia ya kwanza kwa mbwembwe kuliko ustawi wa Taifa la kesho Tanzania.
Viongozi wa CCM wanadhani kuleta watoto wao kusoma hapa Ughaibuni ni sifa na heshima ya kitaifa japo watoto wao wengi huishia kuvuta bangi na wazungu, kuendeleza umalaya kama baba namama zao na hata kuishia jela kwa kushop lift.
Tuige mfano wa wenzetu wahindi walioanzisha vyuo vikuu kwenye mabanda ya Mabati na kuzvibadili taratibu hadi kufikia kiwango cha kimataifa.
Ni sisi wenyewe Watanzania ndiyo wenye uwezo wa kubadili mweleko na mwamko wa elimu Tanzania.
Viongozi wa CCM wameshindwa sisi wananchi ni lazima tuweze
Ni aibu hapa JF na mahali popote duniani hata kwenye sayari ya Mass kudhani shule ikiwa ni ya Kiislamu basi iko after kuferisha wanafunzi wake.
Kuishi kwangu kote mitaani na waislamu wengi sijawahi kuwa na ugomvi na Muislamu yeyote unao husu dini imani au kitabu cha dini.
Ugomvi wa maneno kuhusu imani yangu dhidi ya imani ya kiislamu nimeupata mtandaoni. Kuna mitandao kibao ambayo kazi yake kubwa ni kutoa kashfa zisizo kubaliwa hata na imani zao dhidi ya imani nyingine.
Wote tujiulize, tutasaidiaje kuinua kiwango cha Elimu Tanzania katika kipindi hiki ambacho tunajipanga kuiondoa CCM mdarakani na baada ya kuiondoa madarakani?? Tuna mikakati gani??
mfumo wetu ni mbaya sana; sioni sababu ya kwanini matokeo ya mitihani hii ya kiwango cha chini yanawekwa kwenye mtandao tu. Hivi hakuna uwezekano wa matokeo kupatiwa mtoto moja kwa moja badala ya kuyaweka hadharani? aliyeshinda anajua kashinda yeye na familia yake na aliyefanya vibaya yeye na familia yake wanajua. I DON'T LIKE THIS SYSTEM. Hatujali kabisa hisia za hawa watoto. Wengine wanafikiria hii ni aibu ya "watoto wa Kiislamu"; hii ni aibu yetu kama Watanzania.
Wakati mwingine pia ni busara kupost!
Hivi ni shule zipi za kiislamu zinazofundisha kujitolea mhanga?.........msaada tafadhari
s1921 luqman islamic seminary
div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 1 div-iv = 38 fld = 3
analysis yako ni nzuri, lakini hebu tuwe objective zaidi: ukiangalia katika orodha ya shule 10 bora za mwaka huu nyingi ni truly za dini ya kikristo tena roman. Nakubalina nawewe kuwa inawezekana kinacho wafaulisha ni mazingira, mbinu na vifaa vya ufundishaji, je huoni sasa kama ni muhimu wamiliki na waendeshaji wengine kuwa na jambo la kujifunza kutoka hapa?.
[/B]1558697]nitashangaa mtu atakayesema hii mada ina udini
Ulichotaka kutuambia kwamba ni mpendeleaji kumbe du! kazi tunayo mimi nilidhani unataka kutuelezea ubaya wa CCM kwa matokeo haya kumbe mwenzetu una Agenda nyingine sikuelewi ati! kwa hiyo mawaziri wengine wao hawakujenga nzuri kwao eeh au wao zimefanya vizuri na huku walikuwa watu safi hawakupendelea za kwao ni watu safi hahahahahaha mawazo yako yamenichekesha kweli mepesi!
Elimika kwamba CCM wana sera mbaya wadogo zetu wamefeli nchi nzima,wao wamejenga shule nyingi kwa sifa zisizo na quality yoyote na wala hakuna waalimu,Tuungane pamoja tuikate CCM achana na mambo ya Mwandosya usitupotoshe focus yetu yakuleta mabadiliko ya kweli na hatutaki umbeya hapa
................ bado hazijaanza, tunasubiri mjilimbikizie mali nyingi kwa fursa za kifisadi na choyo mnazoziendekeza, kisha hapo ndio tutapata sababu ya kurecruite watu wa kujitoa mhanga ! mabomu mtindi mmoja ! .......!! hatuna cha kupoteza wakati huo, hapaliki keki wala hapenyweki chai !