instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Ukisikia wanajisifia hao watu wa kasikazin sasainstanbul
Kuna watu naona wanajifanya hawaoni comment yako, ukisoma majibu yao ni kama mtu anaona haibu hahaaaa.
Shule kama nyaishozi shule ya kata kabisa lakin inafanya vzr.
Nature itabaki kuwa nature Tu wahaya wengi Wana akili za kuzaliwa hata kama mtu hutaki lakin huo ndo ukweli na wala hatutumii nguvu nyingi kama hao wakaskazin
Sent using Jamii Forums mobile app