Matokeo ya Kidato cha Nne, cha pili na darasa la nne mwaka 2019 yatangazwa

Matokeo ya Kidato cha Nne, cha pili na darasa la nne mwaka 2019 yatangazwa

Wakubwa shikamooni,tunaolingana habari za mida hii. Jana matokeo ya wadogo zetu yalitangazwa rasmi. Kiukweli toka Jana nilijaribu kipitia matokeo ya shule nyingi ila ST. FRANCIS GIRLS imenifurahisha mno kauli yangu, ukisikia watu wana Mungu ni hii shule. Hebu pitia na wewe utoe wazo


IMG_20200110_063247.jpeg
 
Ahh mambo ya "ri" sio [emoji3][emoji3]

Anyways.

Kila mtu ashinde mechi zake!
 
Watafute waku-brash na kiswahili sasa...
ujue wp pa kuweka r na l
 
Wakubwa shikamooni,tunaolingana habari za mida hii ,Jana matokeo ya wadogo zetu yalitangazwa rasmi ,kiukweri Toka Jana nilijaribu kipitia matokeo ya shule nyingi ila ST.FRANCIS GIRLS imenifrahisha mno kauli yang ,ukisikiwa watu Wana mungu Ni hii shule.heb pitia na wewe utoe wazo View attachment 1317849
Si kutazama matokeo tu, inabidi urudi shule tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakubwa shikamooni,tunaolingana habari za mida hii ,Jana matokeo ya wadogo zetu yalitangazwa rasmi ,kiukweri Toka Jana nilijaribu kipitia matokeo ya shule nyingi ila ST.FRANCIS GIRLS imenifrahisha mno kauli yang ,ukisikiwa watu Wana mungu Ni hii shule.heb pitia na wewe utoe wazo View attachment 1317849
Hapo hata sio Mungu watu wanachukua cream tupu we ulitakaje we peleka mwanao kama mbulula uone kama watampokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
comments zako zinarahisisha sana maisha, hapa unataka kuaminisha jamii kuwa ajira zipo ila lazima ufaulu mtihani tena namba za juu?

Punguza episode za kisinema kijana, maisha hayapo hivyo, hizo huwa ni fulsa na hutokea one time per years.

Watu wanasema ajira hakuna! Ajira hakuna kama ufaulu wako ni wa kuungaunga! Ukiwa na ufaulu wa juu unapata kazi hata kabla ya graduation ceremony
 
Habari zenu jamani,nimeyakuta matokeo ya kidato cha pili lakini hayapo katika mpangilio mzuri,mwenye matokeo ya kidato cha pili shule ya Ilala Islamic aniwekee hapa
 
Kwamba wa tatu kitaifa humuoni amaa?

Halafu angalia form two huko na form wasichana kibao ni wahaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa wa tatu ni mhaya kutoka sengerema,ila ukija kimikoa kagera haijafanya vyema Sana
Maana
Form four kagera haipo top three
Form two kagera haipo top three
Drs la nne kagera haipo top three


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilimanjaro Ni kawaida kabisa kila mwaka inaongozaga kidato Cha nne

Sent using Jamii Forums mobile app
sio kila mwaka. sio vizuri kutia chumvi sana.
ni mwaka 2018 na mwaka 2019 exams tu kwa miaka ya karibuni. lakini top 5 au hata T10 huwepo.[/QUOTE]Hebu niwekee hapa miaka ambayo kilimanjaro haipo top three
Kilimanjaro tangu enz na enzi huikosi top three

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom