Matokeo ya Kidato cha Nne, cha pili na darasa la nne mwaka 2019 yatangazwa

Wahaya ni hatari jamani tuache roho mbaya
Kilimanjaro ndio babá lao kabisaaa wamenishinda tabia
Yaani kila mwaka form four kilimanjaro inakuwaga ya kwanza kitaifa
Kwa mwaka huu shule mbili ktk kumi bora zimetoka kilimanjaro
Pia matokeo ya form two kilimanjaro imetishaaa Ni miongoni mwa mikoa mitatu inayotisha ktk form two Kama kielekezo chetu hapo chini kinavyoonyesha
Pia mwanafunz Bora wa kike Ni Joan rite mutu ya kilimanjaro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kidato cha pili: Mkoa wa Arusha tumetisha. Halmashauri 3 za Meru, Monduli na Arusha Jiji zimeingia kumi bora. Mkoa utaachaje kuwa wa kwanza kitaifa?
 
The apple doesn't fall far from its tree.
What he has done explains a lot about his parents abilities, or aptitudes.
Yaap and I hope one day he will make me proud of him when he become a better man than me he make me happy today really happy we dance Yope together 😂😂😂
 
Kwamba wa tatu kitaifa humuoni amaa?

Halafu angalia form two huko na form wasichana kibao ni wahaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilimanjaro ndio babá lao kabisa
Yaani kila mwaka inaongozaga form four kitaifa,pia mwaka huu ktk kumi Bora imetoa shule mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
Bukoba huioni ama?


Wasichana kumi Bora angalia wahaya ni wangap? Yaan Kati ya kumi Bora wanne wahaya


Pia matokeo ya std four kuna muleba pamoja na shule zake zaidi ya 200 lakin IPO ten best plus bukoba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila Shaka unaiona bukoba na muleba ( uhayani) kwenye top ten.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…