Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Aah! Kwahiyo unataka kuniaminisha kuwa we ni mzazi?
Basi sawa ni vizuri kama ni mzazi hautakiwi kuwa na presha we subiri matokeo yatatangazwa tu,
presha mwachie mwanao kwanza siku hizi hakuna kufeli wengi wanafuzu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Matokeo nimeshayaona and thank God mwanangu ana division 1 ya point 9, na tunamshukuru Mungu shule imefanya vizuri sana kwani ni ya 7 Kitaifa..........
 
ni fitna tuu kutokana na tuhuma dhidi ya mmiliki wake kutoka kwa bwana edogan.... Unadhani edogan alikuja kuongea nn na jiwe!? na wajiandae kuwa kumi bora kutoka mkiani.
povu ruksa nina ovaroli lina grisi hapa nitafulia.
 
Hiyo ST Marks NECTA wanajiridhisha nini? Wakati mambo yote yalikuwa wazi na waliodanganya walikamatwa na kuhojiwa na wakasema ukweli wasomo na mwalimu aliye husika kudanganya.. Wasilete mambo uonevu wa samaki mmoja akioza wote wameoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…