Matokeo ya Kidato cha nne: TUNALO LA KUJIFUNZA ZAIDI KWA KANISA KATORIKI?

Status
Not open for further replies.
nawapongeza waroma....kumbukeni hizi seminari kuna waislamu wengi, mfano marian wapo wengi sana.
 
Wivu wa kike!
 

Acha udini ww
 
Kwa maana nyingine, kwenye hao kumi bora pia, hakuna jina la Mohamedi wala Juma.
 
Wekeni na kumi za mwisho,nasikia ni shule za pwani,dar,moro,kigoma.
Usanii mingi sana
 
 
Hujaandika kwa kina hayo mahusiano ya nguvu za kanisa katoliki na hayo matokeoa . Tafakari upya pia wakati unafanya analysis upya utuambie hao wanaosoma hizo shule ni watanzania ama waisilamu /wakristo ili uwe umetimiza ulichotaka kuandika . Hiki ulichokiandika papa kina onyesha una matatizo ya kufanya mahusiano ya mambo.
 
sasa huyo mungu wa kikatolic anapowavuvia akili za kushinda nectar si awape na za kufanikiwa.

Mungu wa kushinda necta only is a useless one.

mkuu unategemea mtoto wa mwenzako asome alafu akuletee maendeleo wewe? labda ungeuliza hivi! mbona wanasoma alafu maisha yao mamabovu/hawana ajira/hawana kazi? labda nikuulize, mtoto wa mwenzako akisoma akawa bank officer ataletaje maendeleo kwenye familia yako? au ndugu yangu unaamini kuwa kila aliyesoma anakwenda kwenye siasa? nenda kwenye familia ambazo zimewekeza kwenye elimu alafu jaribu kupima kiwango cha maisha yao utajua nina maanisha nini
 
Hivi mbona mnaweka tu ilimu dunia weken na ilimu ahera muone tunavyotema Ayah
 
hawa wanaseminary watakua wanapata mitihani kabla ya siku ya kufanya mtihani husika.

Endelea kufikiri hivyo mpaka muwatoe wakristo wote baraza la mitihani lakini kama watoto wenu hawajaandaliwa vyema msitegemee miujiza itokee kwa kubadilisha watu barazani
 

Hii taarifa/takwimu za kusema wana maisha mabovu mitaani wamezitoa wapi au wanaongea kwa kujifurahisha
 

mhhh bila shaka we ni muislamu,sielewi kwanini huwa mnaona wakristo tuna 'mkakati' flani au tunapendelewa...
Nimesoma Marian girls miaka iliyopita,HAKUNA UPENDELEO WALA KUJUANA,WALA KUPENDELEWA,ukiwa shule kazi ni KUSOMAAAA ,na mitihani ya mara kwa mara,walimu wanafundisha syllabus yote na tunasali sana..unafikiri kuna sababu ya kufeli??hakuna,msipojifunza kutokana na makosa mtaendlea kulalama lakini watu wataendelea ku'shine kutoka kwenye hizo shule...
 
Kitu kikubwa cha kujifunza hapa ni kuwa "Time Management" wanachofundisha haki na tofauti na shule nyingine za kata ambazo ni Bomu kubwa nchi hii. MWanafunzi anafundishwa kuheshimu masomo, kujitegemea, kupangilia muda wa kila kitu na pia linaingizwa swala la Mungu, kuwa na hofu kwa Mungu. Mwanafunzi anayekulia kwenye hali Kama hiyo utamkuta muda wote anafanya kile ambacho kinatakiwa kwa muda huo.

Turudi kwenye shule zetu za kawaida ambazo kila mtu anafanya analolijua, hakuna mpangilio Kati ya mwalimu na mwanafunzi, nini utategemea hapo? Hata grade zishushwe zero iwe 0 hadi -20 bado wengi sana watafeli.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…