Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Mzee sisemei muhasKwa serikali kwa kozi ya md hapo inakua ngumu kwa hayo matokeo.labda ajaribu kozi zingine kama hizi hapa chiniView attachment 1151234View attachment 1151235
Vyuo vya kata anapataWakuu kuna dogo kapata alama C E E, je huyu chuo ataenda kweli au ndio tumwandalie shamba?
Wanatumia vigezo vipi na kwa nini akose ?? !
Admission si eight points au
Mi sisemei muhas mzee
Yaani mi sisemei muhas nasemea vyuo vingine vinavyochukua md vya serikali2012 naingia chuo, walichukua hafi washkaji zangu walikua na 2.10
Japo mwaka jana kuna dogo alikua na 1.8 alitemwa Muhas, tungoje mwaka huu
Admi ya Muhas ni 200+ kwa MD, nadhani huwa wanaangalia na background ya Olevel
Hapana, tunafanana kesi, pia dogo ana 1.8, Phys C, Bio C, Chem B
Yaani mi sisemei muhas nasemea vyuo vingine vinavyochukua md vya serikali
Muhas najua ni ngumu kupata nlsoma hapo zamani miaka hyo 2009
Bugando gharama ipoje hapoKama anajiweza economically aende Bugando.
Mi hapo nauliza kwa vyuo vingineInakuaje ngumu wakato cutt_off point ni 8? Sema competition ndio imuondoe sio kwamba hana sifa za kusoma
Bugando gharama ipoje hapo
Vipi akijaribu ile campus ya udsm ya mbeya kwani mwka jana walichukua mwisho ngapi !?
HahahahaHivi ukiwa Japan website ya Necta haifunguki mkuu ?
Sio D pekee mkuu ni minimum of 4 points, tazama hapo kiongozi.hapo mkuu sidhani, maana afadhali angekuwa na SDD ambayo pia ni point 14 ila kwa hiyo sidhani maana wanaconsider sana D mbili
Teh [emoji28]Usisahau kunipa updates tupo kwenye "raiti tirack" kwa swala hili
Kweli mkuu inabidi achague kozi ambazo hazitakuwa na competition bila hivyo atabaki mpaka mwakaniCompetition hapa itamzuia japo ka'qualify.
kuna dogo ana 3 ya PCM nadhani ndio atakuwa TO huyo.Tabora Boys',, well done madogo
Kwa hiyo mwakani anaweza kupata !Kweli mkuu inabidi achague kozi ambazo hazitakuwa na competition bila hivyo atabaki mpaka mwakani
Kwa hiyo mwakani anaweza kupata !
kuna dogo ana 3 ya PCM nadhani ndio atakuwa TO huyo.
Huyo anaenda chuo kabisa sababu amekidhi viwango vya TCU ..kuwa na principal pass mbili(Yaani kuwa na D Mbili na kuendelea) hivyo mwambie aanze kuomba mkopo wa chuo kikuu ..maana dirisha limeshafunguliwa la kuomba mkopo
Hata mm nilikuwa najua unachojua wewe, but kuna mtu alikuja na Uthibitisho wa TCU kuwa anasifa Za kusoma degree.Sidhani E sikuhizi sio principle tena. Cut off point kafikisha ila vigezo vya kuwa na kuanzia principle mbili hajakidhi nadhani.